Hakuna matatizo kwa Watanzania wanaofuata masharti China

Hakuna matatizo kwa Watanzania wanaofuata masharti China

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Hudhaifa ambaye ni Mtanzania anayeishi katika Jiji la Guangzhou amesema kuwa yeye alifika nchini humo takribani wiki 2 zilizopita

Akihojiwa na Redio ya Kimataifa ya China(CRI) amesema yeye amekaa Karantini kwa siku zinazotakiwa na Mamlaka ya China na hakuona tatizo lolote kwasababu alifuata taratibu zilizowekwa

Amethibitisha kuwa hakuna matatizo yoyote kwa Watanzania wanaoishi katika Jiji la Guangzhou

Hata Balozi wa Tanzania nchini humo, Mbelwa Kairuki amewasisitiza Watanzania wanaoishi China, kutii masharti yote yaliyowekwa na Serikali ya nchi hiyo

#JFCOVID19_Updates
 
Upvote 0
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom