ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wengi wanaogopa kufa wakidhani Kuna maumivu dakika za mwisho ambazo pumzi inaelekea ku shutdown lakini Ni hofu tu Wala hakuna maumivu.ukimuona mtu analia Sana na kuteseka akiwa katika process ya mwisho Basi ujue kuwa anasikitika kuacha Mambo mengi dunian. yaani kwa mfano mtu ana familia inamtegemea Basi akishajua anakaribia kukata too anakuwa na hofu atawaachaje watoto..nk
Kundi lingine Ni wale ambao katika maisha yao duniani wamekuwa attached na material Zaid ya Mambo ya spiritual.hawa wakikaribia kufa wanateseka Sana wakigundua wanaacha pesa nyingi au Mali nyingi.
Kundi lingine ni vijana wadogo ambao hawajatimiza mambo fulani waliyojipangia kuyafanya kwa mfano walitamani Wapate watoto na kifo kimewakuta bado hawajafanikiwa so wanakuwa na pressure kubwa na kuhangaika wajinusuru
Wengine ni Hawa ambao wenyewe nawafananisha na watu ambao walikuwa wakionyeshwa JUA(SUN) lakini wenyewe wanakitazama kidole ambacho kinawaelekeza.. namaanisha wale ambao Mungu baada ya kuwaokoa aliwaambia wasigeuke nyuma wao akageuka.. walionywa wasivute sigara wao wakaona Ni Kama mzaha kiwakakuta Cha kuwakuta wakajikuta Wana kansa isiyotibika Hawa hutamani Sana ku reverse lakini inashindikana so hujikuta wanalia Sana
Lakini anayekufa mzee akili zake Ni Kama mtoto hata akiwa mgonjwa watu wanapokuja kumuaga kwa mfano watoto wake yeye hudhani wamekuja kumtembelea Kumbe watoto wameshajua Hana maisha muda wowote anakufa.wazee wa namna hii hawana hata kumbukumbu wapo Kama watoto wadogo hawana Cha kupoteza tayari Wana ukoo wana vijukuu labda na vitukuuu
So kifupi ndo hivyo kifo hakina maumivu ila kuhangaika kwako kwenye ile process ya kufa kunasababisha na hofu na wasiwasi.mfano wa maumivu Ni Kama vile kunyofolewa kucha kwenye vidole hayo ndo maumivu ya kweli lakini kifo hakina maumivu Kama tunavyofikiri.so let it take you naturally uta enjoy lakini ukishindana nacho tu utakoma kitakutesa sana