Uchaguzi 2020 Hakuna Mbunge CHADEMA anayeweza kushauri kugomea uchaguzi mkuu 2020

Kwani katika akili yako ya kijinga,unafikili Mbowe ananjaa kama yako?kama wewe siyo mtoto wa mama/ kula kulala,waulize wazazi wako huko kijijini walipo,debe la mahindi au kilo moja ya unga ni shilingi ngapi kwa sasa?
Ruzuku,ubunge,biashara na chama wewe kaa hujui kitu
 
Umeshwona Wenge akifafanya siasa hivi karibuni?

Hajafanya maana Magufuli kapiga marufuku, kama hujachaguliwa sehemu usifanye siasa, labda uwe mwanaccm. Hata hivyo kwani kufanya siasa za majukwaani ndio kunampa mtu uhai wa kuishi?
 

Wanaweza kugomea kama mazingira yatakiwa hivi sababu watatumie pesa yao nyingi kwa kampeni alafu mshindi anatangazwa kabla ya kuta kuhesabiwa. So kuliko kuchoma kionua mgongo chao itakuwa vema kwao kutogombea na ikibidi chama wafute
 
Wenye njaa wote wamesombwa na mafuriko ya magufuli ya biashara haram ya binadamu.usitegemee jipya kaka mjipange tu huko mliko
 
Kushiriki uchaguzi wowote chini ya serekali ya awamu ya 5 ni kuhalalisha ushenzi wa CCM.
 
Ushuzi mtupu hakuna logic hata kidogo
 
Tuwaambie ukweli tu mwakani kwenye uchaguzi mkuu mchakato na upinzani utakuwa ndani ya CCM tu ukishatoboa kwenye chama tayari wewe ni mbunge au diwani wananchi wanaielewa CCM upinzani upo hapa na huko twita tu.
 

Una maana uchaguzi wa ngazi za chini viongozi hao wa upinzani wamegoma kushiriki bali watashiriki udiwani na ubunge hapo itakapofika 2020 mwakani? ngoja tuone.
 
Kwahiyo unafikiri kuna binadamu anayeweza kuamua kupoteza muda wake kwenye kugombea akijua kuwa ataenguliwa mwanzoni?
 
wewe umebeba K.I.C.H.W.A.N........mboji au Samadi.
 
Hajafanya maana Magufuli kapiga marufuku, kama hujachaguliwa sehemu usifanye siasa, labda uwe mwanaccm. Hata hivyo kwani kufanya siasa za majukwaani ndio kunampa mtu uhai wa kuishi?
Hata mitandaoni kanyuti
 
BANDUGU PATACHIMBIKA, KAMA UNADHANI UBUNGE WATASUSIA NA MPITISHE WA KWENU, KAMA AKIPITA APITE KIHALALI SIO KWA WIZI MNAOFANYA, NA MSITOE MAWAKALA WAO NJE KURA MUHESABU NYIE WENYEWE, NA MSIWE NA BOX LA KURA LA ZIADA, MANAKE MNASEMA WATAANZA WANAJESHI KWANZA KUPIGA KURA NDIO RAIA TUFATE, BANDUGU, BADAMU BATAMWAGIKA
 
Kamanda upo?
 
Kwa kura za wananchi hilo bunge litajaa wabunge wa cdm, ila kwa mapenzi ya rais ataagiza uchaguzi unajisiwe kama alivyoagiza sasa. Nadhani unajua tabia za ibilisi ni kuharibu taratibu.
Unajisemea wewe mwenyewe na vibaraka wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…