Uchaguzi 2020 Hakuna Mbunge CHADEMA anayeweza kushauri kugomea uchaguzi mkuu 2020

Naomba definition ya maneno yako; " Siasa chafu"
 
Watanzania wamewachoka chadema na sasa wanaona utapeli mkongwe wa chama hiki ,hakuna Mbunge hata mmoja atarudi bungeni 2020

State agent
Labda watanzania ambao ni keyboard warriors kwa ujira wa huku 7 na si vingenevyo. Jipime!
 
Bunge la Katiba walihudhuria lote wakatoka kipindi cha kupiga kura.Kama posho za vikao wanachukua ndio wanatoka nje sioni wakugoma miaka mitano kamanda.Umeelewa sasa
Wakati wa bunge la katiba hivi ulikuwa umesha fukuzwa Bavicha na kujiunga na CCM? Zile ziara zako na Mwigulu kila mahali kama spare tyre mlishazianza? Ila ulitumika! Hakika wewe ni shujaa na ulistahili kutunukiwa cheo kwa uvumilivu.
 
Usipige ngoma na kucheza mwenyewe inaonekana huwafahamu vizuri wabunge wa cdm au unajifunza kuandika story kama wagombea serekali ya mtaa walikosea kujaza form unafikiri na wao hawajui kama watakosea kujaza form kwa makosa yanayofanana? Kwa hali hiyo unataka mtu amwambi mbunge ajitoe?
 
Watanzania wamewachoka chadema na sasa wanaona utapeli mkongwe wa chama hiki ,hakuna Mbunge hata mmoja atarudi bungeni 2020

State agent

Unaposema watanzania una maana ipi? Au ni wanachama wa cdm au wana ccm? Au ni wote? Fanya majaribio uweke tume huru uhakikishe maneno yako
 
Nani kakudanganya? Wakati ukuta
 
Uwe unatumia akili kidogo kufikiri. Kwenye bugne la katiba kazi yao ilikuwa ni kuhakikisha wananchi wanapata katiba Safi wanayoitaka, kwahiyo walilazimika kukaa hump bungeni wakijaribu kuongea nakuwaelimisha wajinga wa CCM ambao Kwa bahati mbaya kwasababu ya ukosefu wa haki, ndio wengi waliokuwako bungeni. Hata hivyo kwasababu nivingumu kuwaelimisha wajinga, hawakuweza kuelewa ndiyo wakangangania upigaji wa kura ili kupitisha ujinga wao, wakijua kwakuwa wao ndo wengi, itapita tu. Kwa mwenye akili asingekubali kushiriki ujinga na uovu huo. Ndipo wote wenye hekima, wanaoangalia mbele wakiwepo Chadema waliamua kutoka nje.
Mbambo haya kama huyajui usichangie kwani unajidhalilisha.
Bunge la Katiba walihudhuria lote wakatoka kipindi cha kupiga kura.Kama posho za vikao wanachukua ndio wanatoka nje sioni wakugoma miaka mitano kamanda.Umeelewa sasa
 
Wakati wa bunge la katiba hivi ulikuwa umesha fukuzwa Bavicha na kujiunga na CCM? Zile ziara zako na Mwigulu kila mahali kama spare tyre mlishazianza? Ila ulitumika! Hakika wewe ni shujaa na ulistahili kutunukiwa cheo kwa uvumilivu.
Kamanda jielekeze kwenye hoja
 
Mama ile mimba ulishajifungua? Ama bado upo kwenye kipindi cha kichefuchefu, kuelekea kujifungua?
 
Hii ni pande zote. Hata wa CCM hakuna awezaye kufanya hivyo
 
Endelea kufua nguo za watoto wa boss wako, haya yanayoendelea huna uwezo wa kuyaelewa.
Sawa! Si ndiyo maana nimekuomba unifafanulie ili nielewe kinachoendelea mkuu ili nisibaki gizani?

Sasa mambo ya kufua nguo za watoto wa Boss wangu yanakujaje? Wewe mimi hunijui, pemgine mimi ndiye huyo boss je? Utajuaje?

Kuwa mstaarabu na jaribu kuleta jibu lenye uhakika.
 
Wakati wa binge la katiba Wakudadavuwa alikuwa people’s power
 
Shetani unafurahia kunywa damu za watu! Inakupa raha sana, eti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…