Uchaguzi 2020 Hakuna Mbunge CHADEMA anayeweza kushauri kugomea uchaguzi mkuu 2020


Ww ni dhalimu fulani usiyejua chochote zaidi ya kuleta vitisho vya kizee. Una uboss gani ww mchumiatumbo? Kaa kushoto maana huna lolote ujualo zaidi ya kunipotezea muda.
 
Acha kuwaza kwa kutumia makalio ccm na chadema nani kaweka Mpira kwapani? Acha kuchokoza watu wamenyamaza
 
Bunge la Katiba walihudhuria lote wakatoka kipindi cha kupiga kura.Kama posho za vikao wanachukua ndio wanatoka nje sioni wakugoma miaka mitano kamanda.Umeelewa sasa
Hata wakigombea sisi wapiga kura HATUTA PIGA KURA.
Haina maana kumpigia mtu kura halafu anauawa. , Anatekwa. , Anapotezwa. , Anaunga mkono juhudi.

Hatufanyi ujinga huo Tena.
 
Hata wakigombea sisi wapiga kura HATUTA PIGA KURA.
Haina maana kumpigia mtu kura halafu anauawa. , Anatekwa. , Anapotezwa. , Anaunga mkono juhudi.

Hatufanyi ujinga huo Tena.
Umejiandikisha lini kamanda?
 
 
Kama tulivyoona uchaguzi wa serikali za mitaa ulivyo na mizengwe na uchaguzi umepita na chama tawala kushinda kwa 99.9% kwa vyama vya upinzani kutoshiriki.

Je uchaguzi mkuu ujao 2020 mizengwe ikiendelea kuchagua wabunge ,madiwani na urais na wapinzani wakasusia tena halafu kukawa na wabunge wa CCM tu bungeni hatima itakuwa nini?
 
1) CCM WATAPITA BILA KUPINGWA

2)UNAWEZA KUWA MWANZO WA KIFO AU KUDHOOFU SANA KWA UPINZANI..

3) WABUNGE WANAOONGEA SASA HIVI WATAKOSA NGUVU YA KUONGEA ,Wataongea wakiwa kama nani?




NEVER MIND POINT ZANGU HAPO JUU MAANA WAPINZANI HAWATAKAA WASUSIE UCHAGUZI MKUU.
 
Bunge litakuwa la Chama kimoja tu CCM hivyo itakuww raha kwa Bunge na serikali
 
  1. Upinzani utahamia ndani ya chama,yani ndo itakuwa mbaya sana kwa hicho chama
 
Wabunge hawawezi kususa ,watakula wapi wamewagomea wenzao wa chini kwa kuwa haiwaumi

State agent
 
Nakuona kwenye ubora wako binti
 
Bunge la Katiba walihudhuria lote wakatoka kipindi cha kupiga kura.Kama posho za vikao wanachukua ndio wanatoka nje sioni wakugoma miaka mitano kamanda.Umeelewa sasa
Zanzibar vipi,? mbona CUF walisusia uchaguzi feki wa marudio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…