Hakuna mchezaji bora anayeweza kukubali kucheza kombe la walioshindwa. Kibu yupo sahihi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Hakuna mchezaji mkubwa atakubali kucheza kombe la waliofeli [emoji15]

Kama utakuwa na akili ya soka utaelewa, ndoto ya Kila mchezaji ni kucheza CAF championship (Yanga) na sio kombe la waliofeli (Simba)
 
Yanga ilivyofika fainali shirikisho ilikuwa na wachezaji wadogo?
Kipindi kile.... kombe la shirikisho lilikuwa na thamani compared to now days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…