Na wew unachezea timu gn?Hamfikii mke wangu
Hahahaha,niliwahi kumuona mke wa fulan uwanjaniWachezaji wa Simba na Yanga mbona wake zao huwa waendi uwanjani?
kwa tuliowahi kuwa malegendari, nakuhakikishia, mwanamke mzuri ni yule unayempenda tu, wengine wooote hawana tofauti yeyote. hata sehemu za siri utaziona nzuri na kuzithamini zile za yule uliyempenda tu, ila wengine wooote sehemu zao za siri zipo sawa tu, hata iweje.
Thread ifungwe sasa, tukanywe bia 😁
Umeua mkuu😂Hamfikii mke wangu
Huna lolote umeukubali huo mkuAisee uyu bishoo wa YELLOW NATION [emoji169]
BONGANI ZUNGU anakojoa pazuri sana kama kuna mchezaji unaemjua ana mke MZURI kumzidi jamaa mpost tuone ila zungu ni [emoji119]
View attachment 2812789
Kwa kweli ....washamba hawaishi mjini...huyu naye ndio Mke nzuri kuliko wote... duuuh
Kabisa kabisa...Kwanza ni dhambi kumtamani mke wa Jirani yako
Sijaelewa hapo kwenye "waendi"!Wachezaji wa Simba na Yanga mbona wake zao huwa waendi uwanjani?
Rekebisha ieleweke...typing errorSijaelewa hapo kwenye "waendi"!