Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

K
Kipindi kile jpm ndo alikuwa mahakama na jaji sasa kesi ungepeleka wapi? Acheni warudishiwe pesa walizoibiwa na bwana yule i.e shetani
 
Jaji gani angethubutu kuthibitisha uporaji kipindi kile? Majani wenyewe waliogopa na kuhandle ujaji wao kwa mwendakuzimu
 
Mpaka 2025 inagota watanzania wataimba credo
 
Ni hatari sana kwa serikali au idara yake yoyote kulipa fedha bila kufuata utaratibu uliopo kwa kujibu wa sheria.
Ina maana serikali ina pesa sana hadi iliope madai yasiyodhibitishwa na mamlaka? Huu nao ni upigaji tu.
Kuna vyombo mbalimbali vya kuwasilisha madai ya uporaji, na mahakama ndio chombo cha mwisho kama mlalamikaji anayo madai yenye mashiko.
 
WEWE
1. uko serikalini?
2. ni mfanyabiashara?
3. ni mtu tu uko mtaani kila linalokuja lako?
4. una wivu, chuki, roho mbaya, au akili mbovu?
 
WEWE
1. uko serikalini?
2. ni mfanyabiashara?
3. ni mtu tu uko mtaani kila linalokuja lako?
4. una wivu, chuki, roho mbaya, au akili mbovu?
Ungependa serikali iwalipe walalamikaji Kwa kodi zetu bila wao kuishitaki serikali iwapo waliporwa fedha.?

Ni wangapi Kwa idadi yao, Je, itawatambuje serikali, kama serikali inadili na wapiga kelele, maana yake si itakuwa kila anayejitokeza tu hata wewe hapo?

Umeuona u roho mbaya wangu mkuu
 
Wakimaliza Hilo Kuna madai ya uwizi wa kura 2020 nalo waliangalie
 
Kumbuka kuendesha kesi kuna gharama nazo zinatoka kwenye kodi- UWE UNAELEWA KWA HARAKA
 
Wapi waliposema wamechunguzwa, na je mtu km alichukuliwa million 10 akasema alichukuliwa billion 10 nani atamkatalia? Atapewa tu bila maelezo
Huu ni ujinga,
Acha nchi iliwe. Kikwete kashika usukani. Wachine wamemilikishwa bandari ya Bwagamoyo. Kikwete na Samia ni wanahisa. Michongo mikali inatengenezwa kuonyeshwa watu waliporwa mabillioni na sasa ni haki yao kurudishiwa. Hapo mgao unapita, Msoga, Inc wana %, Viongozi wa juu wa Se4rkali wana %, na mfanya biashara anapata mara tatu ya zinazosemekana kuporwa. Un afikiri yule mwizi (CCM VC) alirudishwa bure. Zile biashara zake za baharini ambazo alikuwa halipii zilikuwa zimezorota. Sasa amerudi kwa moto na kasi ya mpya ya kula. Ukitaka chawa wakuonyeshe ukali wao, anika tandiko alafu likae siku tatu bila kutumika. Siku ukijifunika hilo tandiko hutalala, maana chawa wana njaa kali na watakutafuna kwa jisassi, hivyo ndivyo ilivyo kwa wale waliorudi tena uongozi. Wamekuja kufanya machafuzi ya lala salama, maana baada ya hapo hawatapata nafasi tena.
 
1. livafan sheria hutumika tu pale panapokuwa hakuna mapatano au maelewano kati ya pande mbili zinazozana....!

Narudia tena kukuambia, kwamba, watu huenda kuamuliwa mahakamani iwapo wameshindwa kupatana wao kwa wao. Katika mazingira haya, ndipo huhitajika mtu wa kati wa kuamua ikiwemo mahakama...!!

2. Kama wote wanaodai waliporwa mali zao wamezungumza na serikali (inayodaiwa kupora mali na fedha za watu) nayo serikali kukiri kuwa ilifanya makosa hayo na kukubali kurudisha ilichochukua kinyume cha sheria kwa watu hao, sasa wewe unataka watu hao waende mahakamani kufanya nini tena..?

## Yaani, ni sawa na wewe umekuja kunilalamikia mimi nimekuchukulia kiatu chako. Mimi nikakiri kosa langu kwako na nikakubali kukurudishia kiatu chako pengine na fidia kidogo juu, tunahitataji kwenda kwa jumbe kufanya nini tena...?

## Hii ndiyo situation ya hili jambo iwapo ni kweli lipo. Hakuna anayesema au kupinga utawala wa sheria. Kumbuka sheria huingia na kufanya kazi pasipo na maelewano au mapatano kati ya pande mbili zinazozozana...!

3. Mimi nimeshauri jambo moja, kwamba, kinachoweza kufanyika kwenye hii kitu ni UKWELI na UWAZI;

√ Kwanza wananchi tuwajue wote wanaodai waliporwa..

√ Wananchi tujue waliporwa nini na lini...

√ Kama ni pesa, ni kiasi gani kwa kila mmoja...

## Yakifanyika haya, hakuna shida kwa sababu wote tunajua kuwa wakati wa Mwendazake Magufuli, ni kweli mambo haya yalifanyika. Kila mwenye hela nyingi aliitwa mwizi na alifuatiliwa hata kunyang'anywa kila alichonacho kinyume cha sheria kabisa...!!
 
Mgonjwa kaning'iniziwa kifungashio
 
Kuna nia mbalimbali kuondoa hela kutoka kwenye vyanzo vya serikali na kupeleka kwa watu kwa kutumia visingizio mbalimbali.

Mimi sikubaliani kuna wafanya biashara waliporwa fedha , madai yao yako wapi??
 
K

Kipindi kile jpm ndo alikuwa mahakama na jaji sasa kesi ungepeleka wapi? Acheni warudishiwe pesa walizoibiwa na bwana yule i.e shetani
Warudishiwe Kwa utaratibu upi?

Kwa kulalamika?

Ni wafanya biashara wangapi hao, wanaidadi yao? Au kila atakayejitokeza akilalamika alipwe hats kama sio kweli?

Serikali italipa wangapi?
 
Kuna nia mbalimbali kuondoa hela kutoka kwenye vyanzo vya serikali na kupeleka kwa watu kwa kutumia visingizio mbalimbali.

Mimi sikubaliani kuna wafanya biashara waliporwa fedha , madai yao yako wapi??
Mkuu, huu ni ujanja ujanja tu wa baadhi ya walioko serikalini kujitengenezea ulaji wa kuiba kodi za watanzania wanaorundikiwa tozo na kodi kibao bila huruma
 
Warudishiwe Kwa utaratibu upi?

Kwa kulalamika?

Ni wafanya biashara wangapi hao, wanaidadi yao? Au kila atakayejitokeza akilalamika alipwe hats kama sio kweli?

Serikali italipa wangapi?
Hii serikali ipo maskini sana waralipwa wanaostahili na wanajulikana mfano Nimrodi mkono alifilisiwa kabisa kwa sababu hiyo akapalalaiz mpaka Leo hatoki ndani
 
uchawa utalimaliza Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…