Hakuna Mganga anayetengeneza pesa wala jini anayetengeneza pesa, bali pesa zinatoka Benki Kuu (BOT)

Hakuna Mganga anayetengeneza pesa wala jini anayetengeneza pesa, bali pesa zinatoka Benki Kuu (BOT)

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
Hakuna Mganga anayetengeneza pesa wala jini anayetengeneza pesa bali pesa zinatoka benk kuu(BOT).

1735885826210.jpg

Kinachofanyika ni kuvuta pesa za wafia dini wanaoamini asili ni shirk.

Hivyo roho mbalimbali zinatumika katika zoezi hili.

Ukikuta umepata mkopo wa milioni kumi au zaidi au chini ya hapo na ukafungua biashara kwa kukurupuka bila kuwasiliana na wakushi basi utafirisika ndani ya muda mfupi 😅😅😅
 
i
Hakuna Mganga anayetengeneza pesa wala jini anayetengeneza pesa bali pesa zinatoka benk kuu(BOT)
View attachment 3191242
Kinachofanyika ni kuvuta pesa za wafia dini wanaoamini asili ni shirk

Hivyo roho mbalimbali zinatumika katika zoezi hili.

Ukikuta umepata mkopo wa milioni kumi au zaidi au chini ya hapo na ukafungua biashara kwa kukurupuka bila kuwasiliana na wakushi basi utafirisika ndani ya muda mfupi 😅😅😅
inaonekana kuna mengi unayajua kuhusu upande huo
 
Hela hawaibi Benki..wanapitia za watu wasio na Kinga mtaani ndio wanamchangia mtu aliyeingia mkataba na hayo majini au demons...Benki kuzito
Na sijaandika wanaiba bank soma vizuri huu Uzi utanielewa point yangu
 
Back
Top Bottom