Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Nataka kusema nilicho kisema kijana wanguKwahiyo unataka kusema nini mzee?
Hivi ukiwasiliana na wakushi unaweza zama bank bila kuonekana??Nataka kusema nilicho kisema kijana wangu
inaonekana kuna mengi unayajua kuhusu upande huoHakuna Mganga anayetengeneza pesa wala jini anayetengeneza pesa bali pesa zinatoka benk kuu(BOT)
View attachment 3191242
Kinachofanyika ni kuvuta pesa za wafia dini wanaoamini asili ni shirk
Hivyo roho mbalimbali zinatumika katika zoezi hili.
Ukikuta umepata mkopo wa milioni kumi au zaidi au chini ya hapo na ukafungua biashara kwa kukurupuka bila kuwasiliana na wakushi basi utafirisika ndani ya muda mfupi π π π
Maswali chokonozi hujibiwa kichokonozi nenda tu kijana mwili wako utakua kafara yetuHivi ukiwasiliana na wakushi unaweza zama bank bila kuonekana??
Kabisa ila sio sana mana elimu hii ni bahari mkuuππ½i
inaonekana kuna mengi unayajua kuhusu upande huo
Na sijaandika wanaiba bank soma vizuri huu Uzi utanielewa point yanguHela hawaibi Benki..wanapitia za watu wasio na Kinga mtaani ndio wanamchangia mtu aliyeingia mkataba na hayo majini au demons...Benki kuzito