Waganga wa ukweli wapo na waganga mataperi wapo wengi sana
Mganga hajigangi,habari wadau.
Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina...
Wanasema mganga Munguhabari wadau.
Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina...
....Mitishamba ImaniWanasema mganga Mungu
Waganga woote ni matapeli tuhabari wadau.
Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina...
Wanawake wa umri wako wakishaanza ku deal na waganga mwisho wa siku wanaishia kuwa vichawiKama mganga wako tapeli ni wewe buana, mganga wangu kiboko mwakani namnunulia passo.
Ukweli ndo huo ila ni vigumu kukuelewa najua utashambuliwa tuWaganga wa ukweli wapo na waganga mataperi wapo wengi sana
Wizi mtupuhabari wadau.
Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina.
hivyo waganga wa kienyeji wapo wengi sana Tanzania. uhalisia hao waganga wote ni matapeli. wanacheza na saikolojia za wateja wao.
nimekutana na video tik tok dada mmoja akieleza jinsi alivyotapeliwa na mganga wake. ni vizuri wengine muione mjifunze jinsi waganga wanavyotapeli watu
View attachment 2830651waganga wanavyofanya kazi zao
Mawazo yako ndio finyu kuliko unavyodhani pole sana dalal umeona wap nmeweka namba hapo tena nyie mnaosema haya humu ndio mnaongoza kupishana huko kwa waganga mkija humu mnazuga kama mnatoka tumbo moja na Yesu mwana wa Mariamwewe ni dalali wa mganga
ama wewe kazi yako ni mganga wa kienyeji
lazima useme hivyo ili ugali wako usipotee
HahahaMawazo yako ndio finyu kuliko unavyodhani pole sana dalal umeona wap nmeweka namba hapo tena nyie mnaosema haya humu ndio mnaongoza kupishana huko kwa waganga mkija humu mnazuga kama mnatoka tumbo moja na Yesu mwana wa Mariam
Waje tu washambulie mkuu alafu niwaulize ni watu wangapi wameshindwa kuponea hospital na kwenda kuponea kienyeji /waganga watu wakiwa humu wanataka waonenekane kama malaika wametoka mbinguniUkweli ndo huo ila ni vigumu kukuelewa najua utashambuliwa tu