Hakuna mkoa utaoweza kuja kufikia hadhi ya u-vip kama mkoa wa Zanzibar

Hakuna mkoa utaoweza kuja kufikia hadhi ya u-vip kama mkoa wa Zanzibar

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Sio nchi kamili kwa hio hatuwezi kuiita nchi ila itoshe kusema huu ni mkoa vip 5 star, ni tofauti kabisa na mikoa yote ya Tanzania

Weka zile hoja za kipumbavu pembeni kwamba Zanzibar kiongozi wao anachaguliwa Dodoma, wanasahau kwamba sharti lazima awe mzanzibari na si Mtanzania bara, hakikisha hii inazama vizuri kichwani.

Wao hawataki kuingiliwa mambo yao mengi, Viongozi wao kama wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, n.k huchaguliwa na raisi wao, hapa raisi wa Bara hahusiki.

Huko kwao Zanzibar ajira ni kwa ajili yao tu ila huku kwetu nako wanapata ajira na teuzi nzito nzito katika vitengo nyeti mpaka majeshini huko.

Mtanzania bara uende kule ujifanye kburi ule hadharani wakati wa mfungo, nakwambia utacharazwa kama mtoto mdogo, ukristo wako uishie huko mikoa mingine ya bara.
 
Back
Top Bottom