Hakuna msaada hapa

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Mimi naitwa John Bumija,nasikitika kwa kumkosa mchumba kisa picha hazivutii,ndivyo nlivyoumbwa siwezi kujipiga rangi,nlizani mtanishauri kumbe ndo matusi,ntapeleka ombi langu kwa Mungu,mwanadamu hana msada
 
Picha zangu za facebook,me naona nimetoka afu madamex wananiponda,au nina nundu kichwani,Olevel nlisoma Boys,Punyeto sana na ni tamu,Advance nlipiga mixer ila msuli mkali ni mwondoko wa nyeto,na hapa mademu chuo wanataka kuprune booom tu,nataka demu me
 
Uvumilivu wenyewe huna...utampata huyo mchumba kweli??? Beauty is in the eyes of beholder...subira atakayekupenda jinsi ulivo..
 
Nimepondwa sana,nimejikia mpweke,nlizani ntapata matumain hata ushauri,ndo mnanisuta namna hii
 
Mnaweza mkaniua kwa kunisema,sawa nina shape ya mnazi ilia nami nataka kupendwa mie
 
Dogo acha kujipa mapresha... Mbona kuna wadada kibao wamepost wanatafuta wenza!!

Hebu pitia pitia hizo thread zao, unaweza bahatika kwa kumpata mmoja mwenye uhitaji kama wako..! Kila la heri..!
 
Mnaweza mkaniua kwa kunisema,sawa nina shape ya mnazi ilia nami nataka kupendwa mie

potezea kaka hayo ni mawazo ya watu na binadamu hatulingani cha msingi jikubali mwenyewe na wasichana wapo wasiwasi wa nini mkubwa?soma kwanza watajileta wenyewe sawa kaka?chezea pesa wewe watamiminika kama bwawa la mtela....
 
mkuu mbona unajiponda mwenyewe ?, usipojipenda mwenyewe ni vigumu kwa mwingine kukupenda
 
Mi naona kuna msaada mwanangu Bamija. Hata hicho ulichopata ni nyenzo na msaada. Maana inaonekana mwanzoni hukumkumbuka Mungu. Naye aliamua kukupiga laana ukapata msaada usiogtegemewa kiasi cha kurejea kule kule. Taratibu utapata saizi yako maana duniani kuna saizi zote. Kama Remmy Ongala alioa inakuwaje wewe ukate tamaa hivyo?
Mimi naitwa John Bumija,nasikitika kwa kumkosa mchumba kisa picha hazivutii,ndivyo nlivyoumbwa siwezi kujipiga rangi,nlizani mtanishauri kumbe ndo matusi,ntapeleka ombi langu kwa Mungu,mwanadamu hana msada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…