Loh mamito nakuja na chombo cha jioni nataka chukuchuku na salad tu basi na ndimu kwa mbali na pilipili manga kidogoMchuzi wa mchemsho, wa nazi au roast? Nataka nikupikie....
We dogo huwa una vistor vya kizushiWavuvi wanaujua muziki wa pweza kumkamata ni kimbembe na ndio maana baadhi ya wavuvi uenda kwa kalumanzira hili kupata dawa ya kumdaka pweza.
Nasikia ukibugi akakuwahi your dead,maana ile mirija yake itakujalia puani,machoni,masikion,mdomoni, na akidanda kwenye mwamba wa jiwe ndio ushamkosa huyo anaganda zaidi ya super glue.
Huyu ndie PWEZA.
Mshana mbona unatukana???.Ila ni mtamu saana halafu mchuzi wake ni nyoko kwa mambo yetu yalee
Kwahiyo pweza ni ndege??.Pweza si samaki,rekebisha heading yako.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mshana mbona unatukana???.
Pweza si ndege wala si samaki.Kwahiyo pweza ni ndege??.
Ko pweza ni konokonoπPweza si ndege wala si samaki.
Nakuuliza swali; unazijua sifa za samaki na ndege?,kama unazijua zinafanana na za pweza?.
Kwa kuelezea kidogo; pweza ni mnyama(Animalia) katika phylum mollusca na class cephalopoda wakati samaki ni mnyama wa phylum chordata na class either chondrichthyes au oesteichthyes.
pweza ana mioyo mitatu wakati samaki ana moyo mmoja.
pweza hana magamba wakati samaki wengi wana magamba.
samaki wana uti wa mgongo pweza hawana uti wa mgongo.
Tofauti ni nyingi mno kwa kifupi pweza anafanana zaidi na konokono kuliko samaki.
Lol, ntakuwekea na ngano iwe nzito kidogo.Loh mamito nakuja na chombo cha jioni nataka chukuchuku na salad tu basi na ndimu kwa mbali na pilipili manga kidogo
N'yadikwa,hakuna mahala nimesema pweza ni kononoko.Ko pweza ni konokonoπ
Asante sana mkuu!!!,mimi maisha yangu yote nilikuwa ninajua kuwa Pweza ni Samaki,asante kwa ufafanuzi.Pweza si ndege wala si samaki.
Nakuuliza swali; unazijua sifa za samaki na ndege?,kama unazijua zinafanana na za pweza?.
Kwa kuelezea kidogo; pweza ni mnyama(Animalia) katika phylum mollusca na class cephalopoda wakati samaki ni mnyama wa phylum chordata na class either chondrichthyes au oesteichthyes.
pweza ana mioyo mitatu wakati samaki ana moyo mmoja.
pweza hana magamba wakati samaki wengi wana magamba.
samaki wana uti wa mgongo pweza hawana uti wa mgongo.
Tofauti ni nyingi mno kwa kifupi pweza anafanana zaidi na konokono kuliko samaki.
Isizidi sana mamito tavimbiwaLol, ntakuwekea na ngano iwe nzito kidogo.
ππKwahiyo pweza ni ndege??.