Hakuna mtu anayejiamini kama huyu

Kranium

Senior Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
130
Reaction score
376
1. Mama/baba aliyepokea kodi ya nyumba
2. Mfanyakazi wa taasisi/wizara ya serikali amepokea mshahara
3. Madalali/watu wa kati/wapiga dili kama issue imepiga tick
4. Mtu amepandishwa cheo
5. Ndezi/domo zege ameng'oa demu
6. Machinga ameuza sana kwa siku
7. Ametoka kwenye mafunzo ya JKT
8. Amevaa kaunda suit (ukiwa challenge huwa wanauliza " unajua mimi ni nani?" Au hujitambulisha "Mimi ni usalama wa Taifa")

Unaweza kuongezea list hapo chini....
 
Aliyeanzisha uzi wa kilofa kama huu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ 3,5,7,8 nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…