Uchaguzi 2020 Hakuna mtu anayeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Dkt. Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo

Mkuu umenena
 
Sio CCM wenye akili nzuri tu,bali hata ambao hawana,wanapata nuru kwenye akili zao.Huu uchaguzi 'bab kubwa'

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Viva Magu 2020 to 2030
Viva chato....

Kuna watu mnahoji mambo ya kijinga kabisa km sio watz. What happened to escrow? Meremeta? Rada? Uuzaji wa nyumba za serikali? Where is 1.5trn? Why chato international airport? Why mayanga why dotto james?

Watapeli sio Barrick ni magufuli na CCM.

Ndio wanaohadaa watz kwa kuomgo wao huku wakiwaita barrick wanaune.

Viongozi wa ccm wanamakubaliano binafsi na barrick sio kwa manufaa ya nchi bali ya viongozi hao wakuu kabisa wa mihimili. Ndio maana wamekazana kutunga sheria ili waruhusiwe kuvunja katiba ya nchi na wasishitakiwe. Mnadhani hii inamaanisha nn? Hii ndio maana yake halisi.

Tumsaidie Tundu Lissu tuikomboe nchi hii inayoendeshwa kihuni na kilaghai na magufuli na CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…