Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
HabarI zenu ndugu zangu.
Katika utafiti wangu nimegundua kwamba wavuta sigara wana tabia kadhaa zinazofanana. Kati ya tabia hizo.
Au ni moja kati ya starehe za kilevi hicho? Mimi pamoja na ujanja wangu wote sijawahi kutumia huu mzizi.
Karibuni ndugu.
Katika utafiti wangu nimegundua kwamba wavuta sigara wana tabia kadhaa zinazofanana. Kati ya tabia hizo.
- Ni ile ya kuvuta sigara kila baada ya kula,
- Lakini kubwa zaidi ni ile ya kuhakikisha mvuta sigara hawezi kuingia toilet bila sigara mdomoni, tena hii ni kwa watu wote dunia nzima...awe mzungu, mchina, mwarabu, muhindi au mbantu.
Au ni moja kati ya starehe za kilevi hicho? Mimi pamoja na ujanja wangu wote sijawahi kutumia huu mzizi.
Karibuni ndugu.