Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Unaweza ukatuambia mazingira unayoishi na unayofanyia kazi?HabarI zenu ndugu zangu.
Katika utafiti wangu nimegundua kwamba wavuta sigara wana tabia kadhaa zinazofanana. Kati ya tabia hizo.
Je kwa wenye kujua hii ya kuingia na sigara sehemu chafu kama toilet inatokana na nini? Mvutaji huwa haoni kinyaa kimeza moshi mahali hapo?
- Ni ile ya kuvuta sigara kila baada ya kula,
- Lakini kubwa zaidi ni ile ya kuhakikisha mvuta sigara hawezi kuingia toilet bila sigara mdomoni, tena hii ni kwa watu wote dunia nzima...awe mzungu, mchina, mwarabu, muhindi au mbantu.
Au ni moja kati ya starehe za kilevi hicho? Mimi pamoja na ujanja wangu wote sijawahi kutumia huu mzizi.
Karibuni ndugu.
Mkuu bila shaka ww sio mvutaji au haujawahi kuwa karibu na wavutaji. Fanya uchunguzi utagundua wavutaji huwa wana tabia ya kuingia toilet na sigara, haijalishi ni nyumban au ofisini.Unaweza ukatuambia mazingira unayoishi na unayofanyia kazi?
Unaingiaje na sigara kwenye choo cha ofisini au nyumbani?
Hiyo "duniani kote" tako ipoje? Inaanzia na kuishia wapi? Inahusika na maeneo yapi?
Mjanja = Ni mtu asiekubali kushindwa na kitu ki urahisi au mtu anaependa kutumia akili na maarifa yake ktk kufanikisha jambo fulani."Mimi pamoja na ujanja wangu wote sijawahi kutumia huu mzizi"
Unaposema wewe ni Mjanja unakua una maanisha nini?
Ujanja ni nini?
Tuanzie hapo kwanza.
Ni sehem ya kutolea uchafu unaotoka miilini mwetu.
Sehemu pana hv nitaogopa kujisaidia,ntajihis npo nje
Are you one of them? You know alot about sigara. Acha kuvuta sigara, inawezekana!HabarI zenu ndugu zangu.
Katika utafiti wangu nimegundua kwamba wavuta sigara wana tabia kadhaa zinazofanana. Kati ya tabia hizo.
Je kwa wenye kujua hii ya kuingia na sigara sehemu chafu kama toilet inatokana na nini? Mvutaji huwa haoni kinyaa kimeza moshi mahali hapo?
- Ni ile ya kuvuta sigara kila baada ya kula,
- Lakini kubwa zaidi ni ile ya kuhakikisha mvuta sigara hawezi kuingia toilet bila sigara mdomoni, tena hii ni kwa watu wote dunia nzima...awe mzungu, mchina, mwarabu, muhindi au mbantu.
Au ni moja kati ya starehe za kilevi hicho? Mimi pamoja na ujanja wangu wote sijawahi kutumia huu mzizi.
Karibuni ndugu.
Uliyoyaandika kuhusu sigara yote umekosea.HabarI zenu ndugu zangu.
Katika utafiti wangu nimegundua kwamba wavuta sigara wana tabia kadhaa zinazofanana. Kati ya tabia hizo.
Je kwa wenye kujua hii ya kuingia na sigara sehemu chafu kama toilet inatokana na nini? Mvutaji huwa haoni kinyaa kimeza moshi mahali hapo?
- Ni ile ya kuvuta sigara kila baada ya kula,
- Lakini kubwa zaidi ni ile ya kuhakikisha mvuta sigara hawezi kuingia toilet bila sigara mdomoni, tena hii ni kwa watu wote dunia nzima...awe mzungu, mchina, mwarabu, muhindi au mbantu.
Au ni moja kati ya starehe za kilevi hicho? Mimi pamoja na ujanja wangu wote sijawahi kutumia huu mzizi.
Karibuni ndugu.
Ya.. asante mkuu kwa kunikumbusha.Umesahau sigara wakati wa pombe.
Kwahiyo ningeandika yepi ili nionekane nimepatia?Uliyoyaandika kuhusu sigara yote umekosea.