Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kiukweli huyu jamaa anamvuto flani hivi ambao huwezi kuuelezea. Namna yake ya uandishi na uwasilishaji wa anachokiamini huwavutia wengi.
Nadhani isingekuwa sheria za JF za kulinda faragha huyu jamaa ndio angekuwa the highly valuable asset kwa humu JF. Sifa yake ya pili anajua mambo mengi jambo mengine anatufungaga kamba.
Ila kama angekuwa tapeli pia angekuwa tapeli mzuri maana ile kujidai anavinasaba na tithi ya paka pia ni aina flan hivi ya kamba. All in all jamaa ni pure talented na game changer.
Juu ya yote ni mwana simba mwenzangu. GENTAMYCINE una akili ila upunguze upopoma na uongouongo.