Mimi namashaka na jinsia yakoKiukweli huyu jamaa anamvuto flani hivi ambao huwezi kuuelezea. Namna yake ya uandishi na uwasilishaji wa anachokiamini huwavutia wengi. Nadhani isingekuwa sheria za jf za kulinda faragha huyu jamaa ndio angekuwa the highly valuable asset kwa humu jf. Sifa yake ya pili anajua mambo mengi jambo mengine anatufungaga kamba. Ila kama angekuwa tapeli pia angekuwa tapeli mzuri maana ile kujidai anavinasaba na tithi ya paka pia ni aina flan hivi ya kamba. All in all jamaa ni pure talented na game changer.Juu ya yote ni mwana simba mwenzangu. GENTAMYCINE una akili ila upunguze upopoma na uongouongo.
Hata mimi nahisi jamaaa ni AMBIGUOUS GENITALIAMimi namashaka na jinsia yako
Huu sio mwandiko wakeWatakuja kusema na hii ni ID yake.
Wenye asili ya uanawake wanawake ndio wangependa kumfahamu. Lakini mimi sina mpango na sijawahi hata kumfikiria. Wala sijawahi kuona chochote cha kunivutia anachopost. Utasema labda namuonea wivu,lakini wewe niambie ni post gani ya maana kutoka kwake yenye mvuto?.Kiukweli huyu jamaa anamvuto flani hivi ambao huwezi kuuelezea. Namna yake ya uandishi na uwasilishaji wa anachokiamini huwavutia wengi. Nadhani isingekuwa sheria za jf za kulinda faragha huyu jamaa ndio angekuwa the highly valuable asset kwa humu jf. Sifa yake ya pili anajua mambo mengi jambo mengine anatufungaga kamba. Ila kama angekuwa tapeli pia angekuwa tapeli mzuri maana ile kujidai anavinasaba na tithi ya paka pia ni aina flan hivi ya kamba. All in all jamaa ni pure talented na game changer.Juu ya yote ni mwana simba mwenzangu. GENTAMYCINE una akili ila upunguze upopoma na uongouongo.