Hakuna mwanachadema anayetaka serikali 2 usitusemehe

Future president

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
144
Reaction score
39
Mh rais, katika maadhimisho ya chama chake ameisemea chadema kwamba wapo wanachadema wanapenda serikali 2,hilo sina hakika nalo,ila ni kuraghai watu,semea chama chako mheshimiwa
 
Watoto wa mjini wanasema pale kachapia. Naona sasa na mwenyekiti naye ashapatwa na ugonjwa wa "Chadema"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…