wanasemaga hakuna mwanamke acyependa kuhongwa ila kuna wanawake natural hawawez kuomba.. so kdume inabd ujiongeze. sio unaambiwa "bby salio limekata" na ww unajibu" poa ukiweka utanichek" 100% hauna chako hapo
yan alivyokata cmu tu mitusi imekuhusu
Acha ujinga wewe