Hakuna Mwanamke mwenye hisia na mwanaume Mzee. Je, ni njaa tu na kukosa adabu?

Mambo ya wanawake na hisia zao waongee wao wanawake...
We uliingia mioyoni mwao wote??..

Kuna mwanamke anapenda mwanaume alievaa hereni na nguo za kubana? Mbona wapo nao pia??
 
Halafu huyo mwanaume Hana hela???
 
Back
Top Bottom