K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Apr 6, 2023 #21 Namimi nashangaa tumbo langu limeshuka la uzee hili ,lakini bint amenikomalia
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 9,748 Reaction score 26,238 Apr 6, 2023 #22 Kama tunaaminishwa kwamba kuna wanaume wenye hisia kwa wanaume wenzao, itashindikana vp kwa binti kuwa na hisia na mzee.
Kama tunaaminishwa kwamba kuna wanaume wenye hisia kwa wanaume wenzao, itashindikana vp kwa binti kuwa na hisia na mzee.