J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Oct 10, 2021 Thread starter #21 BAK said: Bwashee hongera kwa kumeza dawa zako leo. Dishi limetulia utadhani wa UFIPA!!! πππ Click to expand... Hahahaaaa......!
BAK said: Bwashee hongera kwa kumeza dawa zako leo. Dishi limetulia utadhani wa UFIPA!!! πππ Click to expand... Hahahaaaa......!
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Oct 10, 2021 #22 johnthebaptist said: Bwashee unajua bei ya mbolea? Click to expand... Unauliza makofi polisi tena we mzee Ova
johnthebaptist said: Bwashee unajua bei ya mbolea? Click to expand... Unauliza makofi polisi tena we mzee Ova
C cool d JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 1,743 Reaction score 1,751 Oct 10, 2021 #23 Red Giant said: Walisema watatengeneza ajira 8m. Bahati mbaya kuna watu waliamini. Click to expand... Wangetaka kutengeneza wangeweza tena hata kuajiri watu wote kasoro watoto inawezeka, ile sera ya viwanda ingehamishiwa vijijini kujengwa viwanda watu wote wangepata kazi sasa sijui Tanzania ya viwanda iliishia wapi?
Red Giant said: Walisema watatengeneza ajira 8m. Bahati mbaya kuna watu waliamini. Click to expand... Wangetaka kutengeneza wangeweza tena hata kuajiri watu wote kasoro watoto inawezeka, ile sera ya viwanda ingehamishiwa vijijini kujengwa viwanda watu wote wangepata kazi sasa sijui Tanzania ya viwanda iliishia wapi?