Kweli kabisa,hata mimi natamani sana Hekima yake ya Utulivu na Uvumilivu ktk Hali zote anazokutana nazo.Huyu ndy Mwanasiasa Mstaarabu wa kizazi hiki Katika nchi hii. Mimi naweza kumwita (Silent leader ),mana vijana wengi wanajifunza kwake juu ya nini maana ya Uvumilivu wa misukosuko ya Kisiasa. Ni mtu mwenye wafuasi wengi kwa kiwango cha juu sana Japo wengi Wanamunderstimate!!
Aisee! Hapo ndipo tutamjua Tindo na Erythrocyte Chakaza ni akina nani!KWA habari za kuaminika huyu ni Waziri Mkuu ajaye!!
Nilitaka kusema hakuna mwanasiasa makini na sio matatani
Huyu ndy Mwanasiasa Mstaarabu wa kizazi hiki Katika nchi hii. Mimi naweza kumwita (Silent leader ),mana vijana wengi wanajifunza kwake juu ya nini maana ya Uvumilivu wa misukosuko ya Kisiasa. Ni mtu mwenye wafuasi wengi kwa kiwango cha juu sana Japo wengi Wanamunderstimate!!
Huyu jamaa anatumiwa na the State ku push ajenda wanazotaka wao!!kama katiba mpya!!NDIO maana walimtumia kumuinfiza jpm madarakani 2015 KWA kuihodhi nguvu ya Lowasa na kumfilisi kidogo!!Sasa katiba mpya inakuja na serikali ya mseto ambayo Mbowe ni Waziri Mkuu!!eleweni hivyo!!
Ukweli mtupu, Na umethibitishwa kwa vitendo, Na 'muda tayari' umesema nasi katika hili.Hababaiki, hababaishwi, hana hamaki, ni mtulivu kwa hali zote. Watu wa aina hii ni adimu sanaa sio hapa kwetu tu bali ulimwenguni.
nimejiridhisha kuwa ni mtu mwenye hekima, akili na busara kuliko mwanasiasa mwingine hapa nchni kwa sasa.Nimekuwa nikimfuatilia tangu akiwa bungeni, kub na katika siasa na matukio mbalimbali hapa nchni, nimejiridhisha kuwa ni mtu mwenye hekima, akili na busara kuliko mwanasiasa mwingine hapa nchni kwa sasa.
Hababaiki, hababaishwi, hana hamaki, ni mtulivu kwa hali zote. Watu wa aina hii ni adimu sanaa sio hapa kwetu tu bali ulimwenguni.
Mungu azidi kumlinda na kumimarisha ili taifa liweze kufaidi busara na hekima zake.