hii kauli alishaisema sanaAlipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara juzi maeneo ya makao mapya badala ya kuwaeleza wananchi namna atakavyotatua matatizo yao lukuki,mgombea huyu kwa tiketi ya ccm Arusha mjini alionyesha jinsi CCM ilyoishiwa sera na kuanza kuleta mambo ya mipasho na kuwaponda wanaume wa Arusha kuwa hawakumtokea alivyokuwa msichana ndio maana akaenda kuolewa zanzibar.
watu kama hawa hawatakiwi kabisa bungeni.
CHADEMA HOYEE....
du, inachekesha sana, sasa anajisifia kwa vile wanaume wa Arusha hawakumtokea kumuoa au anasikitika hawakumpenda? Na huyo wa Zanzibar mbona hawako nae tena?
hii kauli alishaisema sana
CHADEMA ---- VEMA
Peoples ---- Power
Alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara juzi maeneo ya makao mapya badala ya kuwaeleza wananchi namna atakavyotatua matatizo yao lukuki,mgombea huyu kwa tiketi ya ccm Arusha mjini alionyesha jinsi CCM ilyoishiwa sera na kuanza kuleta mambo ya mipasho na kuwaponda wanaume wa Arusha kuwa hawakumtokea alivyokuwa msichana ndio maana akaenda kuolewa zanzibar.
watu kama hawa hawatakiwi kabisa bungeni.
CHADEMA HOYEE....
huna nyeti yoyote kwa shem wangu
shem pole kwa matusi wanayokutakana waambie wazenji wanajua kupenda
Si mngempa jimbo huko mchambawima mbona mmerudisha kwa wasiompenda tena acha unafiki..