mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Sep 11, 2023 #21 DR SANTOS said: utaenda kutumbuiza amapiano kwenye shughuli za kiserikali.!? mjombaa mjombaa kila mnazi una mkwezi wake Click to expand... Mbona washatumbuiza sana kwenye kampeni za ccm masingeli na nk Watu ni kukata mauno tu Ova
DR SANTOS said: utaenda kutumbuiza amapiano kwenye shughuli za kiserikali.!? mjombaa mjombaa kila mnazi una mkwezi wake Click to expand... Mbona washatumbuiza sana kwenye kampeni za ccm masingeli na nk Watu ni kukata mauno tu Ova
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Sep 11, 2023 #22 Wewe shauri yako, mdomo wako ukienda upande usimlaumu mtu.
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Sep 11, 2023 #23 Wameona ndo ana wafaa huyo
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Sep 11, 2023 #24 mrangi said: Labda anajitolea bure kwenye shuguli hizo Ova Click to expand... Aah wapi mjomba wa Mbagala si huyu wa sasa, hajambo.
mrangi said: Labda anajitolea bure kwenye shuguli hizo Ova Click to expand... Aah wapi mjomba wa Mbagala si huyu wa sasa, hajambo.
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 Sep 11, 2023 #25 Kama John Komba tu
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Sep 11, 2023 #26 Mpoto anajivunia zaidi ya kutembea peku na serikali .ila ukweli wa kuimba kaavaa viatu