Hakuna Mwizi wa Gari anaendesha gari kistaarabu

Wezi waonee huruma mkuu, wanapitia mengi, na magari yenyewe haya km za kutosha?, mengine mmiliki alishawaza aligongeshe alipwe insurance halafu mwizi unajaa nalo, unategemea nini?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nimecheka kifala kwer
 
Hahahaaa

Mapya ya afu mbili yamejaa yard kabisa
 
Gari nalo linampa ushirikiano mwizi yaani hata kama alitaka kuliendesha taratibu linamvutia tu kulitia mwendo wa hasara
Kiufupi mwizi na gari wote lao moja kwahiyo mwibiwa gari wala usimchukie mwizi
 
Wezi waonee huruma mkuu, wanapitia mengi, na magari yenyewe haya km za kutosha?, mengine mmiliki alishawaza aligongeshe alipwe insurance halafu mwizi unajaa nalo, unategemea nini?
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†mwizi aonewe huruma kwa kujitwika chuma chakavu kinachotembea
 
Hii habari Mara ya Kwanza niliiona huko Instagram juzikati.

Unaambiwa gari la kuibwa litapigishwa round za kutosha ulikute chakavu limejichokea halifai kbsa[emoji23]
Na sisi ambao si wapenzi wa Insta tumesogezewa hapa
 
Hii habari Mara ya Kwanza niliiona huko Instagram juzikati.

Unaambiwa gari la kuibwa litapigishwa round za kutosha ulikute chakavu limejichokea halifai kbsa๐Ÿ˜‚
Neno gari la wizi lizingatiwe ๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ