Hii kila mtu anajua, n itaendelea kupuuzwaSiku hizi hamna nyimbo za jumbe, wasanii wa zamani walikuwa wanaumiza kichwa
Siku hiz mpaka chuo na unaishi ukomedian hata studio hukanyagi, hapo vipi?Wasanii wengi wa zamani walifika form 6 ndo maana hata tungo zao zimeenda shule
Nakubaliana na wewe kabisa, wa saizi wanaimba ngono tuuWasanii wengi wa zamani walifika form 6 ndo maana hata tungo zao zimeenda shule
Bonge moja la hit na ujumbe murua wasanii walikuwa wanaumiza vichwa sio sasa hivi za matusiAfande sele jamaa alikuwa anajua Sana.
Kizazi gani cha kuku kapanda baskeri au nin mademu 30 mmoja anajikojolea 🚮🚮Kwa hizi nyimbo sijui tema mate iteleze mara chapatichapati kufikia ukali wa hio collabo bado na kama mambo yakiendelea hivi kile kizazi kitabaki kua golden generation ya mziki wa kizazi kipya bongo
Wazamani wa tanesco walijua kama leo nitauaNakubaliana na wewe kabisa, wa saizi wanaimba ngono tuu
Prakatatumba.....ila bora hao hawakwenda kwa pidiri wakuze nyota kwa michezo yaoKizazi gani cha kuku kapanda baskeri au nin mademu 30 mmoja anajikojolea 🚮🚮
Kikuku cha mama roda kimekula mama wangu, Nikitaka kukifukuza Mama roda kanitukana.Siku hizi hamna nyimbo za jumbe, wasanii wa zamani walikuwa wanaumiza kichwa
huyo alikuwa anambelea upepo, lakini asilimia kubwa ya wasanii walikuwa wanaumiza kichwa kuimba nyimbo zenye maana, sasa hivi tuongee ukweli nyimbo nyingi za bongofleva zimejaa maneno ya ngono tu,Kikuku cha mama roda kimekula mama wangu, Nikitaka kukifukuza Mama roda kanitukana.
Hapo umepata ujumbe gani??
Kuna verse Moja kwenye nyimbo ya darubini ya Afande Sele iliwaonya wajinga walikuwa wanaimba hizi nyimbo nyakati zile.Kikuku cha mama roda kimekula mama wangu, Nikitaka kukifukuza Mama roda kanitukana.
Hapo umepata ujumbe gani??
Bizzman alipiga strings, kama ambavyo amefanya kwenye nyimbo nyingi tu. Kupiga strings sio ku-produce.Bizman ndiyo aliproduce
alipiga keyboard na ku-produce hii ngoma mwanzo mwishoBizzman alipiga strings, kama ambavyo amefanya kwenye nyimbo nyingi tu. Kupiga strings sio ku-produce.
Again, kupiga keyboard sio ku-produce. Labda kama hujui maana ya producing.alipiga keyboard na ku-produce hii ngoma mwanzo mwisho
kama alivyofanya kwenye zeze
Bizzman alikuwa assistant procuder kama ilivyo Soggy, Allan na Ludigo hapo kwa MajaniAgain, kupiga keyboard sio ku-produce. Labda kama hujui maana ya producing.