Hakuna na hatatokea dancer mkali nchini Congo kumzidi Bouro Mpela

Hakuna na hatatokea dancer mkali nchini Congo kumzidi Bouro Mpela

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Alikuwa bendi ya Quartier Latin chini ya Koffi Olomide.

Wapenzi na mashabiki wa muziki nchini Congo walimbatiza jina kwa kumwita king of Domboro dance


Kwa sasa sijui alipo wajuzi mnaweza kuongeza zaidi
 
Hujawahi kuwaona watoto wa Kishansa huko uswahilini kabisa...


 
Back
Top Bottom