Hakuna nafasi za professionals kwa graduates vkutoka Jwtz mpaka watakapo tangaza.

Bilali isema

New Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
2
Reaction score
1
jamani tuache uzushi Jwtz ajira bado tuache kusema tusioyajua.ni vizuri tusubiri mpaka watangaze wao officially.
 
kwani nani kasema wametangaza ?? au unaweweseka
 
Hakuna cha kusema watangaze. Ajira zote za jwtz zinapitia jkt. Kama jkt walitangaza ukakugush utakuwa umeliwa.kwan proffessionals zote jwtz wana select kutoka jkt.kinyume na hapo sahau.maama jwtz hawatangazi nafasi siku hz!
 
Acha kudanganya umma.watu wameajiriwa juzi hapa kwenda jw.kwa wale wenye fani za kuimba,kucheza ngoma na N.K. Hawa wote walitoka Uraiani.
jKT HAKUNA degree kule.Prof watachukua URAIANI.
 
Acha kudanganya umma.watu wameajiriwa juzi hapa kwenda jw.kwa wale wenye fani za kuimba,kucheza ngoma na N.K. Hawa wote walitoka Uraiani.
jKT HAKUNA degree kule.Prof watachukua URAIANI.

zubeda umenena!mwambie huyo.kama haelewi si anyamaze tu.
 
jamani raia wangu..
Mimi nina shahada ya elimu na nahitaji kujiunga na Jw..bt cjui whr to start n do i real qualify 4 da opportunity?
Someone plz help me!
 
nafasi zimetoka na week hii nzima walikuwa wakipokea pale Ngome upanga. ndg yangu kapeleka wamepokea. hawa jwtz hawana uwazi wa mambo usisubiri mpaka watangaze. mwisho j3 kesho
 
nafasi zimetoka na week hii nzima walikuwa wakipokea pale Ngome upanga. ndg yangu kapeleka wamepokea. hawa jwtz hawana uwazi wa mambo usisubiri mpaka watangaze. mwisho j3 kesho

acha kupotosha uma ww hamna nafasi kwa professionals from uraiani zlizotoka na zkitoka it ll go public via local media hata kama washawekana wao nao na watu wao! Ndugu kakurusha roho, akili za kuambiwa........
 
Suala lingine ni.... je? Matokeo na transcript za chuo ztatoka on tym for applications au ndio vile doctrine of frustation itaapply kwa cc fresh graduates ambao mpaka sa hz matokeo hayajatoka!
 
Hakuna cha kusema watangaze. Ajira zote za jwtz zinapitia jkt. Kama jkt walitangaza ukakugush utakuwa umeliwa.kwan proffessionals zote jwtz wana select kutoka jkt.kinyume na hapo sahau.maama jwtz hawatangazi nafasi siku hz!

Kama hujui kaa kmya ...jkt hawana graduates
 
Jamani watu wanapenda kuzungumza tu kwa makisio,leo mnabishana wakat wiki 1 iliyopita wamechukuliwa advanced dip. na digrii na wanaungwa na wale wa jkt,weng walipnga sna thread ilyoelezea hayo wiki jana,ila mm nmefuatlia hadi Upanga na nikathbitshiwa hilo.cku hz hawa tangaz wakitangaza basi orally na deadline ndan ya cku 2.kama uko mkoan ni ngumu zaid.hvyo hata Jw wanakupokeen bt wao ndo wanaokuptishen jkt then jw. Sometyms tetesi zngne za kufanyia kaz sio kukariri coz Urasimu mwng.
 
Subirin watangaze,kama haijafka mwakan,inabidi muelewe kuwa wakat mwngne hata askari na maafsa jesh huwa hawafaham habari za ajira znazotekea humo,trust me!
 
Wapo 30 tu ambao ni kada ya ma Dr.
 
Kaka ukichelea chelea utakuta mwal c wako. Jarb kupat preliminary information.
 
tatizo watu hawautaki ukweli? Tutasubiri sana bila tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…