Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Wewe unamjua Marco Verratti kwel?
Ww jamaa toka lin verati akacheza namba 6 na adrein rabiot anacheza mamba ngapi alfu huwezi huwa compare hao watu Mara nagpi national team Italy wamekuwa defeated na sapain ya busquest?
 
Kumuulizia tu sergio busqet pale baca wanaweza kukuambia hatuna mchezaj kama huyo.... Baca kumwachia sergio ni ndoto za mchana sa 8 na jua kali linawaka [emoji274]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Ww jamaa hata akili huna toka lin verati akacheza namba 6 na adrein rabiot anacheza mamba ngapi alfu huwezi huwa compare hao watu Mara nagpi national team Italy wamekuwa defeated na sapain ya busquest?
Wewe ndo hujui kabisaaa

Kocha akimchezesha thiago motta,verratti anacheza 6 kama akimchezesha adrien rabiot verratti anacheza 8
 
Cjui nn ikiwa unajifunga funga wenyewe hapa tunaongelea natural namba 6 sio kilaka kama verati wako huyo
 
la liga,si unaona msichana mwenzake kaenda kucheza ligi ya wanaume kule chelsea akalalamika ligi ngumu!
Ligi hiyo unayoi - describe kuwa ni ya wasichana ndio hiyo hiyo inayotawala Uefa Champions League pamoja Europa League.
Na vile vile ndio Ligi ambayo inaongoza kwa kuingiza wachezaji almost full squad kwenye Kikosi Bora cha Fifa.
Hakika ni Ligi ya wasichana.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Cjui nn ikiwa unajifunga funga wenyewe hapa tunaongelea natural namba 6 sio kilaka kama verati wako huyo
Ni uamuzi wa kocha kuamua kumchezesha no ambayo anaona inafit na mfumo wake na pia aina ya wachezaji alionayo, ndio maana kocha wa italy national team analalamika kwa nini verratti akiwa psg anachezeshwa 6 wakati ni best playmaker (8)
 
Bora ungemtaja mtu mwingine Carrick? Umekula maharage ya wapi wewe? Uingereza nzima hakuna kama Carrick
Duh.carrick uefa ngapi final ngapi ameonekana ni kilaza kwa Sergio au 2009 na 2011 ulikuwa bado mtto
 
Ni uamuzi wa kocha kuamua kumchezesha no ambayo anaona inafit na mfumo wake na pia aina ya wachezaji alionayo, ndio maana kocha wa italy national team analalamika kwa nini verratti akiwa psg anachezeshwa 6 wakati ni best playmaker (8)
Mkuu kwa kweli unajifunga funga,
Kwa statement yako ni kwamba Verratti ni Natural #8
na hapa tunaongelea Natural #6,
See you.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Ni uamuzi wa kocha kuamua kumchezesha no ambayo anaona inafit na mfumo wake na pia aina ya wachezaji alionayo, ndio maana kocha wa italy national team analalamika kwa nini verratti akiwa psg anachezeshwa 6 wakati ni best playmaker (8)
Iv umeelewa topic inataka nin au unaandika usichokijua nakuomba usome heading Alf ndyo uje umtaje verati wako
 
Tunahitaji damu changa wajifunze kutoka kwa buscet na caricck

Ila kante bakayoko casemiro ni namba zingine dunia ya sasa

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa kweli unajifunga funga,
Kwa statement yako ni kwamba Verratti ni Natural #8
na hapa tunaongelea Natural #6,
See you.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Uzi hauja andikwa natural no 6

Hyo ni kwa wewe ulivyoelewa
 
Tunahitaji damu changa wajifunze kutoka kwa buscet na caricck

Ila kante bakayoko casemiro ni namba zingine dunia ya sasa

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Duh..bakayako na casemiro mwaka huu wote wamekutana na huyo jamaa na timu zao zilichapwa tena kama casemiro ndyo hana ata vision ya nn anatakiwa kukifanya uwanjan ndyo maana el clasico alitolewa kuepuka adhabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…