Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Casemiro ndio 6 bora duniani kwa sasa.anakaba,anaassist na kufunga mabao.
Msimu uliopita kaifunga Barcelona, juventus na Napoli 16 bora

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
yes my boy!?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Itakuwa ww huwa unafuatilia transfer news kwa kuangilia source za magazeti ya shigongo
Tangu Pep ameondoka Barca hajawahi kutaka kusajili mchezaji wa Barca ukiacha Thiago ambaye Barca walishindwa kutimiza masharti ya release clause yake
 
Vicent del busque aliongeaga fact kumuhusu huyu jamaa
Kumbe unamshabikia bosquet kisa kasifiwa na kina del bosque? Bas nenda kaangalie namba 6 ya mhuni wa kiargentina aitwae JAVIER MASCHERANO enzi anakipiga na majogoo wa Anfield, af ukitoka hapo pitia kwa mhuni anaitwa PATRICE VIEIRA. Huyo bosquet kwa tim nyingine angefaa kucheza namba 8

Sent from koromije using bashite
 
Bila kumsahau alonso!! Kiungo makini kabisa!!
 
Nimeona kiwango cha Busqet walivyochukua Uefa na La Liga mfululizo
Ubingwa wa Barca recently umechangiwa na brilliance form ya MSN ndio walikuwa wanaibeba timu tofauti na ile timu ya Pep ambayo ilikuwa ina-control mechi kwenye kiungo kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mchezo.I hope uliangalia ile timu ambayo ilimfunga United fainali 2 na kumfunga Mourinho alivyokuwa Real Madrid
 
Kweli anajua ila kwa huku epl Itakuwa ngumu kwakee

Sent from my Infinix-X600-LTE using JamiiForums mobile app
 

Kweli MSN wanawabeba kwenye kufunga lakini mhimili wa Barca badni Busqet. Mechi yoyote Busqet akipotea lazima wafungwe na hii inatokana na style ya Barca kucheza.
Wana press kutokea nyuma, na yeye ndio mwenye uamuzi wa jinsi timu itakavyocheza,ukimkamata Busqet tu umeikamata Barca.
 
Baada ya Pep kuondoka Barca Busquet kiwango kimeshuka,baada ya Xavi na Alonso kustaafu Busquet amekuwa mchezaji wa kawaida
Lakn elclasico anapiga pass za kutosha na kumpoteza casimero wenu
 
Ukitaka turudi nyuma walikuwepo kina Redondo,Makelele,Gattuso,Keane,Vieira,Davids.Busquet alikuwa the best no 6 enzi Pep anafundisha Barcelona sio mwaka huu.Uliona alivyokimbizwa na kina Verrati/Rabiot/Matuidi
Wote uliowataja wanataman kuwa kama yeye
 
Kukosekana kwa busquet game ya juve ya kwanza kulimfanya mascherano achezeshwe kiongo na aliboronga vibaya sana
 
Sergio sio wa kufananishwa na hawa watoto tunamvunjia heshima yake.Matic sio wa kumfananisha nae, kande anakimbia kimbia tu kama digidigi..sergio ni mtu mwingine.ni ngumu sana kwa mtu asiejua soka kumwona sergio uwanjani kama huja kariri number ya jez.hata mke wake aliwahi sema hapendi kuangalia game za barca kwakuwa hamuoni Mme wake uwanjani..hivyo hawa wanaobisha yawezekana hawajui mpira kama mpenzi Busquet ..hawamwoni akiwa uwanjani.

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Waambie kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…