Hakuna nchi iliyoendelea kupitia machinga

Hakuna nchi iliyoendelea kupitia machinga

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.

1. Hawalipi Kodi.

2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.

NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo
 
Machinga na boda boda ni baadhi ya 'magenge' ambayo ni kama bomu la muda kwa usalama wa taifa letu, sijui wenye mamlaka kwanini wameyaacha haya magenge yakaendela kukua kwa kasi, akili na hela nyingi zitatumika kwa muda huu kuweka mambo sawa (st least boda boda wanajipanga siku hizi), ikishindikana basi itakuja kumwagika damu hapo baadae...tuishi kwa utaratibu na kila mmoja aheshimu sheria zilizopo
 
Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.
1. Hawalipi Kodi,
2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.
NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo
Pia tusipojali uzazi wa mpango, hili Taifa litakuwa la kwanza Duniani kutangaza kuwa Machinga Republic huko mbeleni.
 
Pia tusipojali uzazi wa mpango, hili Taifa litakuwa la kwanza Duniani kutangaza kuwa Machinga Republic huko mbeleni.
 
Kuna watu wakitaka kujua moja jumlisha moja ni ngapi, basi wanachukua kitabu cha historia ili kujifunza hesabu au kuchukua kitabu cha mazoezi ya viungo ili kujifunza upigaji picha.
 
We zero kabisa, hizi ni stage tu za maendeleo, hata hizo nchi zilizoendelea zilishawahi kupitia stage hii katika ukuaji wa uchumi wao enzi hizo, unapoona mitaa ya UK ama US vile unadhani ndo ilikuwa hivyo hata kwenye miaka ya 1800? kuna vitu flan lazima viwepo kwenye nchi ambazo zipo kwenye hatua flani ya maendeleo hasa hizi sekta zisizo rasmi na ndio maana hata serikali inawaondoa tu katikati ya miji na si kuwapiga marufuku kabisa, maendeleo ni process, hakuna nchi iliyowahi endelea kupitia kilimo cha jembe la mkono lakini hii hatua ya jembe la mkono lazima mpitie katika hatua flani ya maendeleo kabla ya kufikia kwe kilimo cha kisasa
 
we zero kabisa, hizi ni stage tu za maendeleo, hata hizo nchi zilizoendelea zilishawahi kupitia stage hii katika ukuaji wa uchumi wao enzi hizo, unapoona mitaa ya UK ama US vile unadhani ndo ilikuwa hivyo hata kwenye miaka ya 1800? kuna vitu flan lazima viwepo kwenye nchi ambazo zipo kwenye hatua flani ya maendeleo hasa hizi sekta zisizo rasmi na ndio maana hata serikali inawaondoa tu katikati ya miji na si kuwapiga marufuku kabisa, maendeleo ni process, hakuna nchi iliyowahi endelea kupitia kilimo cha jembe la mkono lakini hii hatua ya jembe la mkono lazima mpitie katika hatua flani ya maendeleo kabla ya kufikia kwe kilimo cha kisasa
Soma tena utaelewa. Acha mihemko
 
Back
Top Bottom