Ila hii nchi ilipitia kipindi kigumu sanaZile id walizopewa si waliambiwa wanaweza ombea mkopo
Ova
Pia tusipojali uzazi wa mpango, hili Taifa litakuwa la kwanza Duniani kutangaza kuwa Machinga Republic huko mbeleni.Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.
1. Hawalipi Kodi,
2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.
NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo
Ulipigwa fix wewe hakuna cha uchumi wa kati wala nini, jiongeze...Huna akili kabisa.
Tanzania ilifikaje uchumi wa kati mapema zaidi ilivyokuwa imetarajiwa
Pia tusipojali uzazi wa mpango, hili Taifa litakuwa la kwanza Duniani kutangaza kuwa Machinga Republic huko mbeleni.
Soma tena utaelewa. Acha mihemkowe zero kabisa, hizi ni stage tu za maendeleo, hata hizo nchi zilizoendelea zilishawahi kupitia stage hii katika ukuaji wa uchumi wao enzi hizo, unapoona mitaa ya UK ama US vile unadhani ndo ilikuwa hivyo hata kwenye miaka ya 1800? kuna vitu flan lazima viwepo kwenye nchi ambazo zipo kwenye hatua flani ya maendeleo hasa hizi sekta zisizo rasmi na ndio maana hata serikali inawaondoa tu katikati ya miji na si kuwapiga marufuku kabisa, maendeleo ni process, hakuna nchi iliyowahi endelea kupitia kilimo cha jembe la mkono lakini hii hatua ya jembe la mkono lazima mpitie katika hatua flani ya maendeleo kabla ya kufikia kwe kilimo cha kisasa