Hakuna nchi inayoitwa tanganyika

Hakuna nchi inayoitwa tanganyika

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,667
Reaction score
926
Nimetatizika sana kila nikiwaza neno hili kiasi kwamba nikahisi nitafanyanya ubaguzi! Ila nimekuja kuelewa kuwa tanganyika ilikuwa ni jina la watu wa bara wadhaifu dhaifu kiuchumi na wasio weza kujitegemea kiulinzi wenye hulka za uvivu ...kutengeneza TaNZANIA ILI leta hamasa nyingi sana kwa viongozi wa nchi zetu mbili kwani mapito mengi ya kisiasa ya metokea na hata kupata hESHIMA KUBWA KWA WATU WA AFRIKA ....WATANZANIA WENZANGU TUSIKUBALIANE NA WATU WACHACHE WANAOJiita waTANGANYIKA KWANI HAUTAKII MWEMA ULE MCHANGA ULIoCHANGANYWA NA WALE WAZEE WETU...KAMA MTU ANAUJANJA HEBU KAUTAFUTE UULETE THEN NDIO UJIITE WEWE MTANGANYIKA..! NAwasiLIshA.
 
vipi kuhusu mzanzibari yeye alifanikiwa kuupata huo mchanga na akakuletea hapo ndipo uakaamua umuite mzanzibaria.
 
Kwa uelewa wako mdogo huwezi kukubali kama Tanganyika ndiyo nchi ila Tanzania ndiyo haipo kama ipo Zanzibar. Ili tuwe na nchi inaitwa Tanzania ni lazima tusiwe na eneo duniani kote linalojiita Zanzibar kwani falsafa ya kuchanganya ule udongo ilikuwa kuua majina haya yote mawili i.e Tanganyika & Zanzibar. Kwahiyo ukiona Zanzibar ipo ujue na Tanganyika ipo.
 
Back
Top Bottom