Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Hakuna ushahidi kwamba CCM wanataka kuona kura.
Sasa tunakuwa na laxity ambayo haijawahi kuonekana tokea Uhuru.
Hii Kampeni ya No Reform No Election, Chadema wenyewe hawakubaliani
Matatizo ya Uchaguzi yanakuwa exaggerated.
Nchi kama yetu, developing country ,inatakiwa kuwa na nidhamu zaidi.
Hata USA sasa hivi naona kuna maandamano ya HANDS OFF lakini close scrutiny at the pictures hazionyeshi watu wengi wameshiriki.
Watu wamewahi kushindana na CCM na sometimes wameshinda,kwa hiyo wanataka kwenda kugombea Ubunge.
Watu wanasema watawasha moto,watazunguka nchi nzima watawasha moto.
Haya ni maneno tu watu wanasema, empty words.
Watu wanaongea tu mpaka sauti zinakauka,kwani jambo gani linatokea?
Utasikia Mwamposa anawasha moto,Kuhani Musa anawasha mot,Kiboko ya Wachawi anawasha moto.
Sasa kwa nini political expression ya watu izuiwr kwa ajili watu wamesema wanataka kuwasha moto?
Lakini hawa watu ukiwaachia waende nchi nzima na hii Kampeni yao ya No Reform No Election,inaweza kutokea massacre baadaye Polisi itakapojaribu kuwazuia.
Na mi nimemsikia Rais Samia anaongea na Majaji kana,nimeiona kama mawingu yanakusanyika.

Maua MkuuπΊπΈπΊππππππππβοΈπ·πΉπ·..kuiba kura na dhuluma wakati wa uchaguzi huwezi kuita ni nidhamu ktk nchi.
Ww ni POPPY Kama jina lakoHakuna ushahidi kwamba CCM wanataka kuona kura.
Sasa tunakuwa na laxity ambayo haijawahi kuonekana tokea Uhuru.
Hii Kampeni ya No Reform No Election, Chadema wenyewe hawakubaliani
Matatizo ya Uchaguzi yanakuwa exaggerated.
Nchi kama yetu, developing country ,inatakiwa kuwa na nidhamu zaidi.
Hata USA sasa hivi naona kuna maandamano ya HANDS OFF lakini close scrutiny at the pictures hazionyeshi watu wengi wameshiriki.
Watu wamewahi kushindana na CCM na sometimes wameshinda,kwa hiyo wanataka kwenda kugombea Ubunge.
Watu wanasema watawasha moto,watazunguka nchi nzima watawasha moto.
Haya ni maneno tu watu wanasema, empty words.
Watu wanaongea tu mpaka sauti zinakauka,kwani jambo gani linatokea?
Utasikia Mwamposa anawasha moto,Kuhani Musa anawasha mot,Kiboko ya Wachawi anawasha moto.
Sasa kwa nini political expression ya watu izuiwr kwa ajili watu wamesema wanataka kuwasha moto?
Lakini hawa watu ukiwaachia waende nchi nzima na hii Kampeni yao ya No Reform No Election,inaweza kutokea massacre baadaye Polisi itakapojaribu kuwazuia.
Na mi nimemsikia Rais Samia anaongea na Majaji kana,nimeiona kama mawingu yanakusanyika.
Very true,Hofu ya nini? Kufanya jambo moja tena na tena huku ukitegemea matokeo tofauti ni UPUMBAVU.
CDM wameamua tofauti. Wananchi watawaunga mkono.
MATOKEO YA UJAMBAZI WA KURA YANAFANYA NCHI KUKOSA NIDHAMU SIYO NO REFORM NO ELECTION KWA SABABU NCHI INAONGOZWA NA WEZI (GAG) NA WATEKAJI, WENGINE WAMEAMUA KUFUNGUA OFISI ZA UCHAWA NI SAWA TU MKUU KAKAA KIMYA KWA HATA YEYE HAJUI ALIPATA KURA NGAPI ZA USHINDIHakuna ushahidi kwamba CCM wanataka kuona kura.