Hakuna njia nyingine kuoga bila maji??

Kwani bado baridi haijaisha pande hizo?
Anyway! Kwa kuwa kuna vyoo visivyotumia maji, naamini hata kupiga inawezekana.
Hili wazo akilinasa Bilgate, analitabgazia Dau, na vijana wanazama lab na kuibuka na mtambo
 
Kuna kabila huwa wanasaga mawe flani hivi mekundu wanakuwa wanajipaka km mafuta, badala ya kuoga, kikwetu yanaitwa mawe a nyawa. Ama kwetu wanajipakaga samli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…