Hakuna nyongeza ya mishahara kwa watumishi mwaka 2023

Hakuna nyongeza ya mishahara kwa watumishi mwaka 2023

Kashuwa

Member
Joined
Nov 19, 2021
Posts
75
Reaction score
40
Nimepita huku na kule naona kwenye bajeti 2023/2024 hakuna nyongeza bali matumizi mengineyo yasiyo ya mshahara hii inamaana hakuna nyongeza mwaka huu.
 
Kenya hawajapata mshahara so Bora yenu watanzania.

Pia waza ulivyosote hiyo kazi mpaka ukaipata ama una uhakika nafasi yako ikawekwa wazi Ni wangapi watakaiomba na kuijaza na kuitendea haki smt zaidi na wewe unayewaza pdm tu huwazi kutelekeza majukumu yako.

Uzuri serikalini watakulipa hata ukiwa kaburini stahiki zako zote.

Am sorry Kama nitakuwa nimeenda kinyume na your beliefs Ni kawaida smt kuzinguana ama kuwa na mtizamo hasi na wako ndio maisha yalivyo ama nakuwa huru kuwaza navyowaza
 
Kuongeza Mshahara haumsaidii mfanyakazi na haitatokea ije imsaidie kitu pekee cha kumsaidia mfanyakazi ni kumpa posho na kumpunguzia gharama za maisha kwa mfano watumishi kukaa kwenye nyumba zao kwa bei nafuu au buree kuwapa offer kwenye manunuzi yao na kuwaaangalia kwa ukaribu katika suala la usafiri.
 
Haya maisha ya mshahara nilipoona kila uchao ni afadhari ya jana nikapiga chini kiukweli sijutii maana maisha yamekuwa mepesi na kila kitu kwa kiasi fulani kinaenda kwa wepesi
 
Kuna mahali tunakosea kwenye mipango yetu.....tunapanga nini, wakati gani ili nini?.
Certainties and uncertainties bado ni kani zinazotuyumbisha sana.
...........
 
Back
Top Bottom