Hakuna pahala dola imeonekana kuwa chanzo cha utekaji. Yaani kina Soka na Polepole walijiteka au?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Kati ya sababu alizo zitaja Chande , hakuna pahala amesema dola inausishwa na utekaji

Badala yake amesema watekwaji yawezekana ni ushirikina, mapenzi, kutafuta umaarufu na mengine mengi.

Hivi kweli kusoma hatujui hata kuona?

Hii ripoti ni mali ya Rais
 
Mkuu, ungepiga kwanza mswaki, ukanywa glass moja ya maji halafu ukatulia kwanza ndo uje uandike huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…