Kachambue maharage mpira hauuweziNimeamini Watanzania hawajui mpira.
Wachambuzi wakubwa wanalalamikia eti lile tukio la Jana referee ati kawadhulumu penalty
Sasa Ile penalty Gani mnataka?
Sio kila contact ni faul
Ile contact ilikuwa nyepesi mno
Idd Nado alijilegeza na alijitega na kujiandaa Kwa mtego ili mwamzi ampe penality
Me nasema Kwa matukio mengine referee alikuwa na double standard aliwapa Taifa stars yellow cards ila Kwa Morocco hakutoa
Ila Ile haikuwa penalty
Binafsi me na foundation course yangu ya coaching Ile sio penalty
Anyway: tutunze amani, amani ndo tunu ya Afcon, tusizue taharuki, View attachment 3525487
Labda kocha wa Mabange Fc nahodha Maghayo Mcmillan de Maghayo ambaye ni loose Nut Busu la KengeMe ni coach dogo
Sasa kama kuandika tu huwezi,huo ukocha unaujua kweli? eti mwamzi,sio mwamzi ni mwamuzi.Pale kulikuwa na matukio 2,la kwanza nado alivutwa ni kosa linastahili pigo la penati,pili aliangushwa nalo linastahili pigo la peneti,sasa wewe hiyo elimu awali ya ukocha ni ipi?Nimeamini Watanzania hawajui mpira.
Wachambuzi wakubwa wanalalamikia eti lile tukio la Jana referee ati kawadhulumu penalty
Sasa Ile penalty Gani mnataka?
Sio kila contact ni faul
Ile contact ilikuwa nyepesi mno
Idd Nado alijilegeza na alijitega na kujiandaa Kwa mtego ili mwamzi ampe penality
Me nasema Kwa matukio mengine referee alikuwa na double standard aliwapa Taifa stars yellow cards ila Kwa Morocco hakutoa
Ila Ile haikuwa penalty
Binafsi me na foundation course yangu ya coaching Ile sio penalty
Anyway: tutunze amani, amani ndo tunu ya Afcon, tusizue taharuki, View attachment 3525487
Labda nikuelimishe kidogo kwa nini ile ni penalty ya wazi.Nambie ni madhambi gani Nado kafanyiwa
Mkuu Taifa Stars haijatolewa. ImefukuzwaPenalti sio Penalti sisi tumefurahi tu wale Jamaa Kutolewaa