Hakuna penalty pale, Referee mwehu ndo angetoa ile penalty

Utamsukuma vip mtu anayeanguka mwenyewe?
 
Waarabu wangekinukisha palepale uwanjani
 
Sheria inasema contact ni rafu. Haijasema contact nyepesi au nzito
 
Tatizo ni kwamba yapo mazingira yanayofanana na tukio lile kwa 100% na penalty ziliwahi kutolewa katika mechi zingine...
Mifano ipo tele, (ukiidai lakini)

Ile ilikuwa ni clear penalty..
Na laiti tungekuwa tumekwisha fungwa tayari kwa margin ya goli mbili au tatu, refa asingeona shida kutoa penalty......
 
Ya wazi
Ilikuwa imezibwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…