Hakuna Pesa Ndogo

Hakuna Pesa Ndogo

Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2019
Posts
588
Reaction score
851
Wasalamu
"Personally hiki Ni kitu ambacho nimejifunza kutokana na nyakati mbalimbali ambazo nimepitia.

Kuna wakati nilikuwa na kipato Cha laki moja per month ,ile hela ilitosha na nilifanya maendeleo ya kiwango Cha ile hela

Kuna wakati kipato kilipanda zaidi ya kipato cha awali maisha yakabadilika na mahitaji pia.

Kuna wakati kipato kilishuka zaidi lakini sikulala njaa sikutembea bila nguo kwa kipato kilekile maisha bado yaliendelea

Nachotaka kukuonesha Ni kwamba hakunaga Pesa ndogo Wala hakunaga Pesa kubwa inategemea tu na aina ya maisha ambayo umeamua kuishi

Usidharau shilingi Mia kwa lengo la kuheshimu elfu kumi,Kama huwezi kuheshimu hiyo Mia unayopata Ni dhahiri ya kwamba itakugharimu sana kuheshimu elfu kumi.

Katika Kila shilingi Mia unayopata iheshimu ,ishi maisha hayo

Hivi ujaona watu wana millions of money ila shida haziishi,je ujaona mtu analipwa 200k ila Hadi nyumba kajenga,watoto wanasoma na kula wanakula vizuri tu??

Pesa inahitaji nidhamu tu si wingi

Wako upcoming BossLady
 
Wasalamu
"Personally hiki Ni kitu ambacho nimejifunza kutokana na nyakati mbalimbali ambazo nimepitia.

Kuna wakati nilikuwa na kipato Cha laki moja per month ,ile hela ilitosha na nilifanya maendeleo ya kiwango Cha ile hela

Kuna wakati kipato kilipanda zaidi ya kipato cha awali ila bado maisha yalibaki pale pale ,sikufanya kitu Cha ajabu sana kilichozidi wakati wa Kwanza

Pesa inahitaji nidhamu2, c wingi wa pesa...

Mwenye sikio Na asikie
 
Mimi nasema hivi, Pesa inahitaji wingi na nidhamu pia.
Kila siku umri unavyoenda majukumu na mahitaji nayo yanaongezeka kwahiyo pesa lazima ifanywe kuongezeka pia.

Kwa mfano kipato cha laki mbili anachopata mr. X mwenye nidhamu ya pesa, ambaye pia hajaoa na hana tegemezi ni tofauti na matumizi ya kipato hichohicho anachopata Mr.Y mwenye nidhamu ya pesa, ambaye pia ameoa na anasomesha mdogo wake (huyu pamoja na nidhamu yake lakini kuna wakati atajikuta hata mia hana mfukoni kutokana na matumizi yake ya lazima ambayo hayakwepeki).

Pesa inahitaji nidhamu pamoja na uwingi pia.
 
acha masikhara bhana mtu alipwe Mia 200k nyumba ajenge na watoto anawasomesha huyo hatakuwa na deal nyingine within office au nje ya office tusidanganyane hapa..

Ingawa nakubali pesa inaitaji nidhamu ya Hali ya juu.
 
Neno
255754067819_status_10ae683da8434dbda3e6212d43177517.jpeg
 
Mimi nasema hivi, Pesa inahitaji wingi na nidhamu pia.
Kila siku umri unavyoenda majukumu na mahitaji nayo yanaongezeka kwahiyo pesa lazima ifanywe kuongezeka pia.

Kwa mfano kipato cha laki mbili anachopata mr. X mwenye nidhamu ya pesa, ambaye pia hajaoa na hana tegemezi ni tofauti na matumizi ya kipato hichohicho anachopata Mr.Y mwenye nidhamu ya pesa, ambaye pia ameoa na anasomesha mdogo wake (huyu pamoja na nidhamu yake lakini kuna wakati atajikuta hata mia hana mfukoni kutokana na matumizi yake ya lazima ambayo hayakwepeki).

Pesa inahitaji nidhamu pamoja na uwingi pia.
Mkuu uko sahihi sana wengine huwa wanakariri tu halaf wanakuja kuhubiri kitu wasichokuwa na uzoefu nacho.
 
acha masikhara bhana mtu alipwe Mia 200k nyumba ajenge na watoto anawasomesha huyo hatakuwa na deal nyingine within office au nje ya office tusidanganyane hapa..

Ingawa nakubali pesa inaitaji nidhamu ya Hali ya juu.
Hizi huwa ni siasa tu za baadhi ya watu ambao wanawapumbaza wenzao ili wasiwe na nguvu ya kuwaza kipato kikubwa Kama wao kwa maslah yao binafsi.
Kwa wakati wa Sasa laki 2 itaishia kwenye nauli na kodi ya chumba tu.
Hapo bado hujanunua chakula utaishije,na ndio maana watu wanaolipwa mishahara Kama hyo lazima uaminifu utaisha mahala pa kazi atawaza kupiga hela ya wizi asepe.
 
Tajiri naye kaongea Kama Mimi haya mbishie
Ingekuwa ni rahisi hvyo basi hao mabilionea wasingeumiza kichwa kuongeza na kulinda mabilioni yao.
Ingekuwa wanarelax tu halaf wakifilisika wanaanza kuwa na discpline ya kusave hata laki 5 tu halaf awe bilionea tena.
 
Sijasema relax , namanisha manage kuishi kwa kipato chako kabla ujataka kuwa millionea
 
Wasalamu
"Personally hiki Ni kitu ambacho nimejifunza kutokana na nyakati mbalimbali ambazo nimepitia.

Kuna wakati nilikuwa na kipato Cha laki moja per month ,ile hela ilitosha na nilifanya maendeleo ya kiwango Cha ile hela

Kuna wakati kipato kilipanda zaidi ya kipato cha awali ila bado maisha yalibaki pale pale ,sikufanya kitu Cha ajabu sana kilichozidi wakati wa Kwanza

Kuna wakati kipato kilishuka zaidi lakini sikulala njaa sikutembea bila nguo kwa kipato kilekile maisha bado yaliendelea

Nachotaka kukuonesha Ni kwamba hakunaga Pesa ndogo Wala hakunaga Pesa kubwa inategemea tu na aina ya maisha ambayo umeamua kuishi

Usidharau shilingi Mia kwa lengo la kuheshimu elfu kumi,Kama huwezi kuheshimu hiyo Mia unayopata Ni dhahiri ya kwamba itakugharimu sana kuheshimu elfu kumi.

Katika Kila shilingi Mia unayopata iheshimu ,ishi maisha hayo

Hivi ujaona watu wana millions of money ila shida haziishi,je ujaona mtu analipwa 200k ila Hadi nyumba kajenga,watoto wanasoma na kula wanakula vizuri tu??

Pesa inahitaji nidhamu tu si wingi
TRA WANAYO HII TAARIFA ?
 
Mimi nasema hivi, Pesa inahitaji wingi na nidhamu pia.
Kila siku umri unavyoenda majukumu na mahitaji nayo yanaongezeka kwahiyo pesa lazima ifanywe kuongezeka pia.

Kwa mfano kipato cha laki mbili anachopata mr. X mwenye nidhamu ya pesa, ambaye pia hajaoa na hana tegemezi ni tofauti na matumizi ya kipato hichohicho anachopata Mr.Y mwenye nidhamu ya pesa, ambaye pia ameoa na anasomesha mdogo wake (huyu pamoja na nidhamu yake lakini kuna wakati atajikuta hata mia hana mfukoni kutokana na matumizi yake ya lazima ambayo hayakwepeki).

Pesa inahitaji nidhamu pamoja na uwingi pia.
HII ND'O KOMENTI YA MAANA KULIKO ZOTE KWENYE UZI HUU !!!
 
Back
Top Bottom