Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 851
Wasalamu
"Personally hiki Ni kitu ambacho nimejifunza kutokana na nyakati mbalimbali ambazo nimepitia.
Kuna wakati nilikuwa na kipato Cha laki moja per month ,ile hela ilitosha na nilifanya maendeleo ya kiwango Cha ile hela
Kuna wakati kipato kilipanda zaidi ya kipato cha awali maisha yakabadilika na mahitaji pia.
Kuna wakati kipato kilishuka zaidi lakini sikulala njaa sikutembea bila nguo kwa kipato kilekile maisha bado yaliendelea
Nachotaka kukuonesha Ni kwamba hakunaga Pesa ndogo Wala hakunaga Pesa kubwa inategemea tu na aina ya maisha ambayo umeamua kuishi
Usidharau shilingi Mia kwa lengo la kuheshimu elfu kumi,Kama huwezi kuheshimu hiyo Mia unayopata Ni dhahiri ya kwamba itakugharimu sana kuheshimu elfu kumi.
Katika Kila shilingi Mia unayopata iheshimu ,ishi maisha hayo
Hivi ujaona watu wana millions of money ila shida haziishi,je ujaona mtu analipwa 200k ila Hadi nyumba kajenga,watoto wanasoma na kula wanakula vizuri tu??
Pesa inahitaji nidhamu tu si wingi
Wako upcoming BossLady