khaaaaa! nilitarajia utabembeleza kumbe umenipa laiv? ama kweli upendo umepungua.

halaf Lizzy mbona haonekani au ile posa yake ishakubaliwa?
Rushwa haiombwi hazarani bana!

nipe rushwa nikubembeleze. Lizzy yupo busy, acha ujumbe.

wengine ni marafiki kwa marafiki zetu,

by the way huwezi jua nani kutokana na ukweli halisi ulio ndani ya mioyo ya watu................

jiulize kama hakuna rafiki wa kweli au ndugu wa kweli wewe tukuweke kwenye kundi gani?

huenda wewe unadhani hakuna rafiki wa kweli kwa vile na wewe sio rafiki wa kweli kwa wengine...........

Hivi ulikuwa hujui shost? mie nilijua sina rafiki kipindi cha harusi yangu wale nilioamini kuwa ndo marafiki tungeshilikiana pamoja walikaa pembeni wakiniangalia ,rafiki wa kweli naona ni mme kababy kangu na wazazi...
Lizzy bf wake amefungulia si unajua mwezi mzima walikaa mbali jana na leo malipizo kesho ataibuka tu!!!hahahaaaaaaRushwa haiombwi hazarani bana!
To Lizzy.......
"yaani Lizzy sioni umuhimu wa mimi kuwepo JF bila wewe, nimejarib kujilazimisha kula lakini skuweza nimetapika, halaf nikilala usingizi haukuji sku za mwanzo nilizani kunguni lakini kumbe sababu ni wewe! ningejiuwa lakini nimenunua TV mpya majuzi tu nipe muda niifaidi kidogo, ningeandika zaidi lakini kila nikiikaribia full stop na machozi yanaongezeka,"
From klorokwini
c/o Husninyo
Jamani mwenzenu nimejifunza kitu kikubwa na ningependa kushare na nyie wenzangu. Katika dunia hii hakuna ndugu wala rafiki wa kweli. Katika rafiki zako wote ulio nao 99.9% si wakweli na ukitaka kujua ni wakati una matatizo kama kufukuzwa kazi, kusimamishwa na kuugua wewe mwenyewe. Na katika ndugu zako ulio nao 98% siyo ndugu wa kweli ukitaka kujua vigezo navyo ni hivyo hivyo au subiri watoto warudishwe shuleni kwa kukosa ada.
Mimi sasa hivi ndugu zangu ninaowaamini ni watoto wangu na mama yangu, kidogoooooooooooooooo na mume/mke. Ogopa sana wale marafiki unaokula nao maisha huwa hawafai kabisaaaaaaaaaaaaaaa. Binafsi nimepunguza marafiki kwa 99% likewise na ngugu
Lizzy bf wake amefungulia si unajua mwezi mzima walikaa mbali jana na leo malipizo kesho ataibuka tu!!!hahahaaaaaa