Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
inategemea mliachana vp, otherwise ni kama kuoga afu unarudia kuvaa nguo chafuuuuuuuuuuuu
Hakuna kurudi nyuma huo ni bonge ya udhaifu
Hujasikia baby come back nay ina utamu wake.......................
Mapenzi hayana chenji . . .
Never accept a return
Sidhani kuna sababu yoyote ya kurudiana na aliyekuwa mpenzi wako,haijalishi upendo wenu ulikuwa mzuri kwa kiwango gani ,kama kaondoka akirudi sidhani kama ile trust itakuwa kama awali.
Ni nafasi ya kukua na sioni badiliko litakalo tokea kama mlikaa kwa muda mrefu then mmoja akamsaliti mwenzake, kama uhusiano umevunjika ni bora kila mtu aanze maisha mapya tu ,kuliko kung'ang'ania mtu ambaye uliamini anakupenda na akakuumiza.
Hello is there reason to return to your Ex?
Mtazamo wangu zifuatazo ni sababu za kurudiana tokana na msimamo na maamuzi ya kila mmoja...
Na mengine ambayo wao wenyewe wanaorudiana wanajua...
- Mmegundua kua kuachana ni mistake kubwa mlifanya na kugundua kua woote mlikua na makosa au alokua na makosa akakiri makosa yake.
- Wote mlipoachana mmekumbana na balaa zaidi - yaani wote mnagundua mmeruka majivu na kukanyaga moto.
- Kugundua kua mlipoachana mdada was pregnant hataki kutoa and you are both ready to start a family hoping it will work out.
- Memories you both shared ziwe good, bad, fun, horrible to you both still the most important and treasured ones, yaani mapenzi wapya washindwa kabisa kufuta impressions you left on each other.
- Bado you love each other na most importantly bado their is chemistry between you.
ni sawa Dada Asha what if, its time to accept dispite the memories you shared! It wil never be like it was before,kutakua na kuumiza tena hata kama mmeamua yaishe,i think for the health of YOU SHOULD NOT WANT YOUR EX BACK everything happen for a reason!?
Hujanielewa rafiki.... hizo sababu nilizotoa ni sababu ambazo hua vigezo kwa wale ambao wanaachana tena wakarudiana... Personally sina Ex ambae naweza taka nirudiane nae... HAKUNA! Sio tu sababu nimeolewa, yaani ni design ambayo ningekaa single maisha yangu yoote but not kurudiana. Lakini hio haina maana kua watu hawaweza rudiana; inategemea vingi kama kwanini mliachana, uhusiano wenu ulikuaje, maelewano yalikua vipi, uhusiano wao ulikua mrefu kiasi gani... nina mifano wa watu ambao walitengana (sometimes hata 2 years) but wakarudiana and they are still together...