Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Ameandika kitu kikubwa sana.Irrelevant and pathetic at the same time.
Hata hujui unataka nini, achia kujuwa unaandika kitu gani hapa.
Binafsi ni muumini wa ‘never say, never’Bidhaa inayoitwa hofu na uoga hatuinunui wala hatutaki ng'oo. Kiumbe kilichozaliwa kitakufa.
Hakuna kulialia , kulalamika wala kutiisha huruma. Haturudi nyuma Imetosha na imetosha Sasa basi
Huyo jamaa ana label ya members, uwa hasomi hoja zao. Yeye anaandika based on his labelling na kutafuta ugomvi tu.Ameandika kitu kikubwa sana.
Nilicho elewa:
Anawasihi wenye uwezo wa kubadili mambo ndani ya state apparatus wafanye hivyo kabla kusubiri maandamano kupata legitimacy ya kuingilia Kati.
Wafanye kabla ili kuepusha damu za waandamanaji kumwagika. Huyu ana amini maandamano yapo na yanaungwa mkono na hivyo vyombo, Tena yanasubiriwa na hizo apparatus.
Disclaimer: Sijasema watu wa hizo apparatus wafanye alichopendekeza mleta mada.
I have family to take care...
Will you be there to commit that martyrdom? Ready for that sacrifice?Kama akina Mandela kule Afrika Kusini wangekuwa hawako tayari kujitoa kwa matokeo yoyote yale [kifo, kifungo, kuishi uhamishoni, n.k.,], si ajabu Apartheid ingekuwa bado inaendelea huko Afrika Kusini.
Inafikia wakati watu lazima mchore mstari na kukubali kuwa kutakuwepo na gharama ya kulipa.
Bila hivyo, hakuna chochote kitakachobadilika.
Una TikTok, tumia wknd moja kuona hawa watoto live chat zao.Kama akina Mandela kule Afrika Kusini wangekuwa hawako tayari kujitoa kwa matokeo yoyote yale [kifo, kifungo, kuishi uhamishoni, n.k.,], si ajabu Apartheid ingekuwa bado inaendelea huko Afrika Kusini.
Inafikia wakati watu lazima mchore mstari na kukubali kuwa kutakuwepo na gharama ya kulipa.
Bila hivyo, hakuna chochote kitakachobadilika.
Your syntax errors are offensive.Will you be there to commit that martyr. Ready for that sacrifice?
Or it's easier say than done?
Kwa bahati nzuri mimi sipo kabisa huko kwenye social media.Una TikTok, tumia wknd moja kuona hawa watoto live chat zao.
Huko ni ngono tu.
Naelewa kuna group la vijana ambao wamechoka, ila kabla hawaja ji commit. Walau na wahusika wawe tayari.
It doesn’t look that way, I could be wrong.
I apologise.Your syntax errors are offensive.
Try it hasa TikTok algorithms zao zikujue unapenda mambo ya Tanzania.Kwa bahati nzuri mimi sipo kabisa huko kwenye social media.
You must be kidding! Yaani hakuna sababu ya kufia nchi? Kama kufia nchi ingekuwa sio sababu ya msingi, basi taifa hili pia lisingekuwa na Jeshi. Kumbuka, hiyo ndiyo sababu pekee inayowafanya wanajeshi wetu waweke maisha yao on the line!Uwezo wa watu wanaoongoza nchi unajulikana na uharibifu waliofanya kwa taifa upo wazi.
Sasa either wahusika wenye uchungu na nchi waingie kati au tukubali matokeo ya katiba iliyowapa mamlaka ya kuharibu nchi.
Kwanini watoto wa watu waumizwe kwanza, kama tumekubali majizi na civil servants wameshindwa kuwakabili majizi na kuamua kuwa sehemu ya wizi.
Sasa tufanye nini zaidi ya kukubali yaishe kama wenyewe wenye mbinu hawataki kuzuia bila ya kuona damu za raia kwanza.
Hii ni vita ya security apparatus sio sisi watanzania.
Wao ndio walio tengeneza mazingira ya nchi kuchezewa na ndio wenye jukumu la kuweka mambo sawa.
Binafsi siwezi andamana kwa upuuzi uliotengenezwa na vyombo bye tu vya ulinzi, they need to sort it out.
Sasa aina maana naingilia maamuzi ya wengine.
But if you think about, it’s just pathetic who on his right might angempa nchi Samia.
Na wanaopotezwa kila siku ni bibi zako?Uwezo wa watu wanaoongoza nchi unajulikana na uharibifu waliofanya kwa taifa upo wazi.
Sasa either wahusika wenye uchungu na nchi waingie kati au tukubali matokeo ya katiba iliyowapa mamlaka ya kuharibu nchi.
Kwanini watoto wa watu waumizwe kwanza, kama tumekubali majizi na civil servants wameshindwa kuwakabili majizi na kuamua kuwa sehemu ya wizi.
Sasa tufanye nini zaidi ya kukubali yaishe kama wenyewe wenye mbinu hawataki kuzuia bila ya kuona damu za raia kwanza.
Hii ni vita ya security apparatus sio sisi watanzania.
Wao ndio walio tengeneza mazingira ya nchi kuchezewa na ndio wenye jukumu la kuweka mambo sawa.
Binafsi siwezi andamana kwa upuuzi uliotengenezwa na vyombo bye tu vya ulinzi, they need to sort it out.
Sasa aina maana naingilia maamuzi ya wengine.
But if you think about, it’s just pathetic who on his right might angempa nchi Samia.
Mzee Kalamu punguza munkari siku imebaki moja jiandae kuingia barabarani ila uage familia yakoIrrelevant and pathetic at the same time.
Hata hujui unataka nini, achia kujuwa unaandika kitu gani hapa.