Hakuna sababu ya kupoteza maisha ya vijana

Mzee Kalamu punguza munkari siku imebaki moja jiandae kuingia barabarani ila uage familia yako
Watu wa "kafala" nyinyi, mtapoteza hali hiyo duni mnayoishikilia kwa hao wafugaji wenu.

Jiandae kuwa mtu huru kuanzia Oktoba 29.
 
EEEeeenHEEEeeeeeh!

Mkuu 'Titi'; unanifanya nicheke tu kwa maumivu.

Naelewa vizuri sana unacho eleza wewe hapa; ambacho naamini sicho anacho lenga huyo uliye mjibia.

Ninapoandika maneno kama hayo niliyoweka hapo siandiki tu kwa tafsiri ya hayo yaliyopo kujibiwa; bali nahusisha na nimjuavyo mwandishi katika misimamo yake inayojulikana wazi humu JF.

Kwa kifupi ni hivi, nikikujibu wewe moja kwa moja: Mageuzi "FEKI" au nusu nusu hayawezi kuisaidia chochote Tanzania wakati huu.
Huko kutishiwa "damu za vijana kumwagika" kwa nini iwe sasa; mbona tumelia miaka na miaka juu ya swala hilihili lakini hakuna aliye sikiliza, na badala yake ndio wakazidi kumwaga damu za waTanzania?

Tusianze tena kutishana wakati huu inapoanza kuonekana dalili za kubanwa kwa wadhalimu. Tusiwape mwanya wa kutupumbaza akili tena.

Kwanza nikuulize: Ni nani atakayemwaga hiyo damu ya vijana? Mpelekeeni ujumbe asithubutu kufanya hivyo; wakati wake umekwisha.
 
Brief, and straight to the point!

No Nywinywi; Nywonywo or Nywunywu!
 
Huyo jamaa ana label ya members, uwa hasomi hoja zao. Yeye anaandika based on his labelling na kutafuta ugomvi tu.
Usitafute huruma.
Label pekee inayoniongoza ni ulicho kiandika na mtiririko wa historia ya uliyo andika. That's it!
 
*** you πŸ–•πŸ–•
Not that you're getting any clever to deserve credit for what is written in that posting!
This is an attempt at hoodwinking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…