daza steven
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 361
- 361
Mkuu kwani bado huelewi Nini? Chadema ilikufa pale tu babu mwenye nywere nyeupe alivyoamua kurudi kwao.. ndo ulikuwa mwanzo wa wenyeji kusononeka na kupotea kabisa baada ya mgeni wao kurudi kwake
inaonekana Una imani Sana..unaweza hata kuamini ronaldo atakuja kukuoa hongera na pole piaNdoto ya mchana!!!! Unaweza kuiua mchoni pako kwa kutumia nguvu kubwa, gharama na madaraka uliyonayo lakini ikaendelea kuishi mioyoni mwa watu. Ipo siku tu, hata kama ni baada ya vizazi vingapi, itarudi kuwa hai machoni pako!!!!!
Chadema hii hii ya ufipa au....? Masihara hayo.. ...!! Tunachokiona ni kama kikundi fulani kinaishia hata hatujui 2020 kama kitakuwepo.. .!
Mkuu kwani bado huelewi Nini? Chadema ilikufa pale tu babu mwenye nywere nyeupe alivyoamua kurudi kwao.. ndo ulikuwa mwanzo wa wenyeji kusononeka na kupotea kabisa baada ya mgeni wao kurudi kwake
Tatizo walisusia kujiandikisha.Uchaguzi wa serikali za mitaa ndiyo sehemu pakee kwa Chadema kumaliza hasira zao kwa CCM kwani ni mwendo wa kuchukuwa mitaa yote na vijiji nchi nzima hili kurudisha hishma.
Na wengi tunajua hilo linawezekana kwani Freeman amewai kusikika akisema wananchi wanahasira.
Mkuu wewe ulitakiwa ufanye Kazi ICU maana upo vizuri Sana kwa kutoa matumaini yaliyokwisha potea na kufariji Hali mbaya za wagonjwa.. Hakika maneno yako yanatia Sana moyo kwa mgonjwa aliye mhututi kisiasa.Ndoto ya mchana!!!! Unaweza kuiua mchoni pako kwa kutumia nguvu kubwa, gharama na madaraka uliyonayo lakini ikaendelea kuishi mioyoni mwa watu. Ipo siku tu, hata kama ni baada ya vizazi vingapi, itarudi kuwa hai machoni pako!!!!!